Msaada kuhusu yalipo Mkao Makuu ya Ecobank Pan African Tanzania

airwing

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
305
396
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonesha, Nilikuwa naomba Kwa mwenye kufahamu makao Yao hawa Watu Kwa hapa TANZANIA na utararibu wa receive pesa iliyotumwa kutoka nje ya Nchi.
 
kupokea pesa kutoka nje ya nchi siki hizi siyo lazima utumie bank, hata mobile money kwa njia ya worldremit na njia nyingine rahisi zaidi kama moneygram na western union ni rahisi zaidi..
 
Nenda posta jirani na NBC Bank ukiwa unatokea central Police unaanza kukutana na Ecobank au wapigie simu wakuelekeze vizuri
 
  • Thanks
Reactions: amu
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonesha, Nilikuwa naomba Kwa mwenye kufahamu makao Yao hawa Watu Kwa hapa TANZANIA na utararibu wa receive pesa iliyotumwa kutoka nje ya Nchi.
Nadhani ni kinondoni makaburini njia hiyo ulizia kama upo maeneo ya mbezi na mwenge wapo jirani na sokoni
 
Hujasema ulipi.
Kama uko makumbusho panda magari ya MAKUMBUSHO-POSTA au MAKUMBUSHO-STESHENI yenye mkanda wa blue bahari (usipande ya dhambarau yatakupitisha ALLY HASSAN ROAD.
Ukifika kinondoni makaburini kama umetokea makumbusho, mwambie konda msaada hapo mbele bank mpya, atakuacha. Pale pana makao makuu ya ECOBANK, FBME BANK MFILISI, TADB nk.
Je, nimekusaidia?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom