Msaada: Tatizo la kujaa internal storage ya simu

inyele

JF-Expert Member
Aug 8, 2017
1,645
1,258
Salaam wakuu,,,
Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out"

Ikifikia hatua hii siwezi kufanya chochote hadi nifute baadhi ya vitu kwa ajili ya kuongeza nafasi kwenye internal storage hapo ndipo naweza kupiga simu, kutuma SMS na kufanaya mambo mengine
.
.
NB: tatizo hili halitokani na Mimi kudownload vitu kwani linatokea automatically hata kama situmii simu lakin kuna mda unafika unakuta internal storage inapungua kwa kasi!

Nini kinasababisha hili??! Na ni namna gani naweza kutatua hili tatizo?!! Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani
 
Kuna whatsapp photos and videos huwa zinachukua space. Kama umeruhusu ziwe downloaded automatically.

Tumia Clean Master kuexplore mafail katika simu yako itakuonyesha mafail yanayochukua volumes kubwa....
 
Mkuu hii clean master ipo kwa simu yangu huwa naitumia Mara nyingi ku'release phone storage! Space huwa inaongezeka kwa muda then tatizo linajirudia
 
Ingia setting - app...force stop app zote ambazo hutumii ,futa caches data,unaweza kuwa games app zinakula sana space,futa zipakue unapotaka kucheza ukimaliza kucheza futa, video zote za kupakua zielekeze kwenye sd card.uwe una safisha RAM mara kwa mara,pia pakua RAM play store,inasaidia kiasi fulani kutuliza simu.
 
Kama unatumia facebook tumia ile facebook lite,ile facebook ya kawaida ni janga kwa simu yenye RAM ya 1gb na internal ya 16 gb
 
Ingia setting - app...force stop app zote ambazo hutumii ,futa caches data,unaweza kuwa games app zinakula sana space,futa zipakue unapotaka kucheza ukimaliza kucheza futa, video zote za kupakua zielekeze kwenye sd card.uwe una safisha RAM mara kwa mara,pia pakua RAM play store,inasaidia kiasi fulani kutuliza simu.
Caches data ni nini? Huwa nasoma tu hiki kitu
 
Internal storage inajazwa na vitu unavotuma (picha na videos) kwa watu /groups za whatsapp. Vitu unavotuma huwa havifutiki kwenye storage hata kama utafuta kwenye gallery yako. Chakufanya ingia kwenye internal storage yako Kisha tafuta folder lenye jina whatsapp. Lifungue ndani Kuna folders nyingine. Fungua lenye jina media,lifungue utaona folders nyingine zenye picha, video, documents nk. Nk. Futa sent items zote kwenye kila folder nililo taja Kisha urudi kushukuru hapa .

HOPE I HAVE INFORMED YOU ENOUGH
 
Back
Top Bottom