goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 943
- 1,110
Ndugu wapendwa nataka kununua simu aina ya samsung galaxy A2 maana budget yangu ni around 200k
Naomba kujua uimara wa hii simu kwa aliyewahi kuitumia nikimaanisha cons na prons zake. Pia ubora wa picha zake pamoja na stability yake iwapo itadondoka kwenye kitu kigumu.
Lakini pia kwa Hiyo budget unaweza kunishauri kama kuna toleo lingine LA samsang au huawei nawezapata isipokuwa techno na kizazi chake.
Msaada wenu wadau