Msaada Kuhusu samsung galaxy A2

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
943
1,107
Ndugu wapendwa nataka kununua simu aina ya samsung galaxy A2 maana budget yangu ni around 200k

Naomba kujua uimara wa hii simu kwa aliyewahi kuitumia nikimaanisha cons na prons zake. Pia ubora wa picha zake pamoja na stability yake iwapo itadondoka kwenye kitu kigumu.

Lakini pia kwa Hiyo budget unaweza kunishauri kama kuna toleo lingine LA samsang au huawei nawezapata isipokuwa techno na kizazi chake.

Msaada wenu wadau
 
Kizazi cha techno ni kibaya sana.

Ila kwa iyo budget yako utapata simu bomba kabisa ya TECNO
 
Ni simu ya kasaida sana japo itapita tecno nyingi ila ina ram na rom kidogo sana 1gb na 16 betr kimeo 2600mah utafanyia nn mkuu pia camera yake ndogo sana ungeongeza 60k upate A10 mkuuu yenye ram 2gb rom 32 betri 3400 itakaa na chaji kulko hiyo a2 utapata tabu sana kila mda simu ipo kweny chaji bora ujikaze uongeze aisee hera aisee ili ununue kitu ambacho roho ita penda kuliko kutoa hera zote hizo harafu ujute.
 
Simu yenyewe hii hapa ona
Screenshot_20191009-203057_Chrome.jpeg
 
asante mkuu vp kuhusu kukaa na moto kama data zikiwa on mda wote ni approxmt masaa mangapi?
 
Mkuu eb elezea japo kidogo uhovyo wake, na vp kuhusu bei ya A10 kwa anaefahamu na ukaaji wake na chaji
 
Tecno iliyochangamka hadi program zake kama za tecno tu hamna jipya hapo samsung wamechemka kumuuzia jina mhindi
Mkuu hawajachemka simu hizi zina ubora wake naomba ulimiani hili ninalokwambia , samsung atabakia kuwa samsung , na tecno atabakia kuwa tecno , mie nimemiliki samsung b4 kuhamia OPPO samsung ni nzuri sana ila zina matatizo yake , mie nimemiliki J5 PRIME nilienjoy nayo sana , nikaja kubadili na kumiliki Oppo , asee samsung akasome hii simu nimenunua used kwa mtu lakini mpaka cha leo nateleza nayo , haijawahi kuniletea ttz lolote mpk cha leo , nimetimiza mwaka nayo .
 
Oppo Gani?
 
Hiyo samsung A2 core ni ya hovyo sio samsung zingine hata mm matumia sana samsung ila hiyo A2 core ni
 
Back
Top Bottom