Msaada kuhusu pete ya uchumba..

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Eti wakuu,ukimvalisha m2 pete ya uchumba ndo ina maansha nin,na je unaweza kumvka m2 pete thn ucmuoe??
 
Ushauri kwa waleta maada hususani simu jaribuni kuwa makini na spelling na kuepuka vifupi vya maneno ambayo siyo wote wanaweza kuvielewa. Kumvisha mtu pete ya uchumba ni ishara kwa watu wengine kuwa mtu huyo ni occupied. Ndiyo maana kukawa na utofauti wa pete ya uchumba na ndoa. Kuhusu kughairi kuoa baada ya mtu kumvisha mtu pete uwezekano kama huo upo lakini inabidi uwe na sababu ya msingi sana ambayo itakubalik na pande zote mbili. Sababu ya pekee ambayoinaweza kukubalika ni fumanizi lisilo na mawaa, hili linaweza kuvunja hata ndoa si tu uchumba. Swali la kizushi Senetaor, unataka kumtema mtu nini? Maana thraed huwa zina connection fulani hivi na mtoa mada.
 
swali lako gumu kulijibu mkuu.
 
ulimvalisha pete ya uchumba baada ya kutoa mahari au ndo zile za kuvalishana chochoro?
Kukujibu, unaweza kumuacha kutegemea hisia zako au ametenda nini nk nk
ila kabla hujamwacha make sure ni uamuzi sahihi, wahenga wanasema usiache mbachao kwa msala upitao
 
Hawa ndio wanaotangaza ndoa ili wapate uloda wakishapata wanasepa. Mkuu haingii akilini kwa mtu aliyeamua kumvisha pete mpenzi wake tena kwa hiari yake mwenyewe, halafu bila sababu ya msingi amuache huyo mchumba wake.
 
Back
Top Bottom