Mtoa mada anasema hivi hapa chini:
Hivi hapo huoni kwamba wewe ndo mpiga pumba?! Mwenyewe ameshema kwamba msg aliyopata ni kwamba account itakuwa verified within 5~7days, mwenzetu wewe unamkatalia kwamba sio hivyo!!!!! Maajabu haya!! Yaani unataka kujifanya wewe unajua sana kuliko huyo mwenyewe aliyesema amepewa 5~7 working days for verification?! Narudia, acha ulimbukeni wa kujifanya unajua wakati hujui huku ukionesha dalili zote za namna gani ulivyo mgumu wa kuelewa! Pole sana!
Wewe unambishiaNilikuwa nimeregister, lakini inaonesha verification itakamilika within 5~7 working days. Nina urgent issue,kusubiri 5~7 days ni issue zaidi ya issue.
Wacha uongo uki-register na kuweka vikolombwezo vyote huwa ni hapo kwa hapo, labda inategemea upo nchi gani. Sorry mate.