Msaada kuhusu PayPal!

Msaada kuhusu PayPal!

Mkuu usikurupuke .... ...... ''labda inategemea upo nchi gani.''

huwez tumia huduma ya paypal immediately baada ya kuregister inabidi uiaktivate kwa kuingiza code utakazotumiwa na paypal na hizi code huonekana kwenye bank stetement yako after 3-5-7 days

hii imewekwa ili wakufahamu kweli wewe ndiye mmiliki halali wa hiyo kadi, kwa kwenda chukua statement from ur bank then kuingiza hizo code unakuwa umethibitisha wewe ndiye mmiliki halali wa kadi,
 
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?

Lazima uwe na hiyo account kwanza....na hiyo verification code unaipata within 3 business days, there4, hapo hakuna short cut! Depending to your banker, kama una access na internet banking, kwako inaweza kuwa rahisi zaidi coz' unaweza ukawa unaipitia online statement yako mara kwa mara kuona kama tayari verification code imesha-appear kwenye account.
 
Hata kama upo sayari ya mars, lazima Paypal wa-verify akaunti yako otherwise wizi kupitia paypal ungekuwa mkubwa sana!! Just imagine kwamba ndo hakuna verification; ina maana mtu akishaipata VISA card yako tu even for a minute anaweza kukuibia?! Anatoa tu photocopy kisha anaenda kufungua paypal account na hapo hapo anaanza ku-transfer fedha from ur offline bank account to paypal account!
 
chief-mkwawa Joendu85 wakuu naona mna uzoefu na paypal...nilikuwa refunded ebay sasa shida ikaja hela haijaingia kwenye my bank account ila inaonyesha kuwa transaction successful. Mmeshawahi kutana na issue kama hii?

Imepita muda gani?! Kama imekuwa refunded, itaingia tu coz' nilishawahi kukutana na scenario kama hiyo ambayo i was not comfortable na product ambayo niliagiza(specification zilikuwa tofauti) na nilipofungua dispute, mkwanja ulirudi ndani ya account within 7days!
 
Rejister paypal na details zako lazima
uwe na credit or debit card unaweza kuhamisha pesa toka account ya mtu mwenye paypal kwenda mtu mwingine
mwenye paypal free of charge
 
Samahani wakuu, tuhabarishane tafadhali; ni Benki gani kwa hapa TZ zenye huduma hii ya Paypal?

benki zote zenye master na visa card hii huduma ipo na kwa upande wa NBC wao ili upate code za kuverify lazima upige customer center mabenki mengine sijui..
 
mi mpaka nimekataa tamaa sasa..ni kama miezi miwili hivi imepita tangu niombe crdb wanifungulie visa card yangu...kila nikienda mara njoo wiki ijayo , mara kesho mara baada ya wiki moja itakuwa tayari na nshajaza hadi ile form ya kuwa responsible mwenyewe watakapo activate huduma hii ambayo unajaza card no account details, tena nimejaaza zaid ya mara mbili maana mara ya kwanza nimajejaza wakasema baada ya siku 3 itakuwa tayari,nimerudi siku ya 3 eti form hawaioni ...!! nikajaza tena... baaday ya siku 3 kurudi wakanipiga kiswahili tena nikapoa wakanipa nyingine nikajaza, mpaka leo ni mwezi umepita paypal siwez ku confirm card yangu inagoma na benki kila nikienda napigwa kiswahili..aaarghhh...!!
 
What u need to do is just to ask for ur bank statement; basi! Kwenye bank statement atakuta transaction husika ambayo itakuwa na debit amount equivalent to $1.95 ambayo itaambatana na verification code husika! Unajua ukishaongea na customer care, mtazungushana tu coz' wengi wao kama sio wote wanakuwa hawafahamu haya mambo so ukimwambia unahitaji Verification Code ya Paypal, itabidi muanze kuelimishana kwanza! Kama upo mbali na banking hall, sio mbaya kupiga customer care otherwise the best way ni kufuata statement tu ambayo kwa benki zingine kama CRDB or UBA u can access it online!
 
Rejister paypal na details zako lazima
uwe na credit or debit card unaweza kuhamisha pesa toka account ya mtu mwenye paypal kwenda mtu mwingine
mwenye paypal free of charge

But sio kwa kila nchi! For instance, Paypal account (Tanzania) can not receive money...!! Kama upo Tanzania and many other African Countries, you can use Paypal only for making payment.
 
huwez tumia huduma ya paypal immediately baada ya kuregister inabidi uiaktivate kwa kuingiza code utakazotumiwa na paypal na hizi code huonekana kwenye bank stetement yako after 3-5-7 days

hii imewekwa ili wakufahamu kweli wewe ndiye mmiliki halali wa hiyo kadi, kwa kwenda chukua statement from ur bank then kuingiza hizo code unakuwa umethibitisha wewe ndiye mmiliki halali wa kadi,

Sasa mkuu wewe ilikuchukua miongo kadhaa, lazima uelewe kuna tofauti katika accounts. Accounts zingine ni za nyanya.

Lazima uwe na hiyo account kwanza....na hiyo verification code unaipata within 3 business days, there4, hapo hakuna short cut! Depending to your banker, kama una access na internet banking, kwako inaweza kuwa rahisi zaidi coz' unaweza ukawa unaipitia online statement yako mara kwa mara kuona kama tayari verification code imesha-appear kwenye account.

Three working days you must be joking, lazima uelewe kwamba pay pal unawapa e-mail yako na verification inakuja via e-mail yako plus wao wana vigezo vya ku-verify your name and location through other means kama voters roll and your credit history and your accounts within minutes kama upo ulaya hususan UK, nashangaa kuona ung'ang'anizi ambao hauna msingi na kuweka mambo ya vijiweni. It all depends upo nchi gani, hiyo ndio bottom line wether you like it or not.

Hata kama upo sayari ya mars, lazima Paypal wa-verify akaunti yako otherwise wizi kupitia paypal ungekuwa mkubwa sana!! Just imagine kwamba ndo hakuna verification; ina maana mtu akishaipata VISA card yako tu even for a minute anaweza kukuibia?! Anatoa tu photocopy kisha anaenda kufungua paypal account na hapo hapo anaanza ku-transfer fedha from ur offline bank account to paypal account!

Wacha uongo unafikiri verification yao ni sawa na unavyofikiri?
 
But sio kwa kila nchi! For instance, Paypal account (Tanzania) can not receive money...!! Kama upo Tanzania and many other African Countries, you can use Paypal only for making payment.

Is this realyy? Prove na kwanini?
 
Is this realyy? Prove na kwanini?

kuwepo kwa huduma zote inabidi paypal wapitie financial regulations za nchi fulani na wakubaliane nazo hivyo kuwepo kwa huduma zote, haya ni majibu ambayo paypal walinijibu kwa email,

ni kweli paypal hakuna huduma ya kureceive pesa kwa Tanzania pia hata Uganda na nchi nyingi tu , Kenya inazo huduma zote za kutuma na za kureceive

register a paypal akaunti weka nchi TANZANIA angalia juu utaona sehemu ya SEND PAYMENT tu, Again register a pyapal akaunti weka nchi KENYA or USA , utaona both RECEIVE PAYMENT na SEND PAYMENT

Hivyo kwa mtu wa TANZANIA hawezi kuuza vitu ebay kwa direct paypal paymet, anaweza kuuza but kwa kwa direct paypment through VISA or MASTAKADI,
 
Don't act like you know kumbe hujui chochote! Unaongelea mafikirio zaidi kuliko uhalisia

unajua kwa kufikiria watu tunajua kwa practice having 100% 263 ebay +ve feedback

siwezi bishana na anayejifanya anajua kumbe hajui , na hajui kama hajui !!

sasa mkuu wewe ilikuchukua miongo kadhaa, lazima uelewe kuna tofauti katika accounts. Accounts zingine ni za nyanya.

three working days you must be joking, lazima uelewe kwamba pay pal unawapa e-mail yako na verification inakuja via e-mail yako plus wao wana vigezo vya ku-verify your name and location through other means kama voters roll and your credit history and your accounts within minutes kama upo ulaya hususan uk, nashangaa kuona ung'ang'anizi ambao hauna msingi na kuweka mambo ya vijiweni. it all depends upo nchi gani, hiyo ndio bottom line wether you like it or not.

wacha uongo unafikiri verification yao ni sawa na unavyofikiri?
 
Don't act like you know kumbe hujui chochote! Unaongelea mafikirio zaidi kuliko uhalisia

unajua kwa kufikiria watu tunajua kwa practice having 100% 263 ebay +ve feedback

siwezi bishana na anayejifanya anajua kumbe hajui , na hajui kama hajui !!

Chacha kilichokufanya uandike nahau zote hapo ni nini kama sio Umbeya. Exp yako ya ebay unafikiri ni sahihi? Wengine huwa hatuandiki tu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Sasa mkuu wewe ilikuchukua miongo kadhaa, lazima uelewe kuna tofauti katika accounts. Accounts zingine ni za nyanya.
Ulimbukeni mwingine mbaya sana!! Hizo account za nyanya zikoje?! Au unazani Paypal account ni only for accounts with $, STG or Euro pekee? Acha ushamba kijana!!
Three working days you must be joking, lazima uelewe kwamba pay pal unawapa e-mail yako na verification inakuja via e-mail yako plus wao wana vigezo vya ku-verify your name and location through other means kama voters roll and your credit history and your accounts within minutes kama upo ulaya hususan UK, nashangaa kuona ung'ang'anizi ambao hauna msingi na kuweka mambo ya vijiweni. It all depends upo nchi gani, hiyo ndio bottom line wether you like it or not.
Uongo ni upi?! Nazani kuna mdau mmoja alishajibu wazi kwamba hapa tunazungumzia mazingira ya TZ....sasa hayo ya Ulaya yanatoka wapi?! Au unataka tufahamu kwamba upo Ulaya? we vipi...!!! Hapa hakuna cha kuwapa email wala nini, acha ujuaji usio na maana. What u do ni kwamba unafungua Paypal account using email address na sio kuwapa email. Ukishafanya hivyo, ktk ku-verify wanakukata $1.95 (but inakuwa refunded after verification) ambayo hiyo transaction ina-appear kwenye bank statement within three business day. Kwenye hiyo entry ndo utakuta Verification Code ambapo itakulazimu ku-log in kwenye Paypal account kwa kutumia email ambayo uliitumia na utakuta sehemu inayokutaka kuingiza hiyo verification code....sasa unachokataa wewe ni nini?! Halafu ulivyo wa jabu, karibu wote hapo wamezungumzia suala la hiyo 3 business days.....hapa hatuzungumzii mambo ambayo ni exceptional bali uhalisia na huo niliokupa ndio uhalisia wenyewe!

You're talking abt kuangalia Credit Card History; wht if hiyo credit card ni mpya or no any history? Unataka kuniambia hapo huwezi kufungua paypal account na kuwa verified?! Acha kukariri!
Wacha uongo unafikiri verification yao ni sawa na unavyofikiri?
Verification yao?! Akina nani?! Kama ninavyofikiri nini wakati mwenyewe ninayo hiyo Paypal account na ninaitumia kwa muda mrefu tu sasa?!
 
Is this realyy? Prove na kwanini?
mkuu wangu,
maelezo aliyoyatoa mathematics hapo juu yamejibu kila kitu! Hata mimi niliwahi kuwaandikia Paypal zaidi ya mwaka unusu sasa na hilo jibu alilotoa mathematics ndilo ambalo nami walinipatia! INgawaje walisema wanafanyia kazi suala la paypal account za TZ kuweza ku-receive money lakini hailekei kama hilo litawezekana ndani ya muda mfupi kwani kama nilivyokuelezea, it's more than 18 months now. Hata hivyo, sooner or later, nasi tutaingia tu kundini kwani hata hao Kenya nao zamani walikuwa kama sisi tu. And in fact, sio Kenya tu; wakati Paypal wanaingia Africa ni less than 3 countries ziliwezeshwa ku receive money! Let's pray and wait....!!!
 
Ulimbukeni mwingine mbaya sana!! Hizo account za nyanya zikoje?! Au unazani Paypal account ni only for accounts with $, STG or Euro pekee? Acha ushamba kijana!!
Uongo ni upi?! Nazani kuna mdau mmoja alishajibu wazi kwamba hapa tunazungumzia mazingira ya TZ....sasa hayo ya Ulaya yanatoka wapi?! Au unataka tufahamu kwamba upo Ulaya? we vipi...!!! Hapa hakuna cha kuwapa email wala nini, acha ujuaji usio na maana. What u do ni kwamba unafungua Paypal account using email address na sio kuwapa email. Ukishafanya hivyo, ktk ku-verify wanakukata $1.95 (but inakuwa refunded after verification) ambayo hiyo transaction ina-appear kwenye bank statement within three business day. Kwenye hiyo entry ndo utakuta Verification Code ambapo itakulazimu ku-log in kwenye Paypal account kwa kutumia email ambayo uliitumia na utakuta sehemu inayokutaka kuingiza hiyo verification code....sasa unachokataa wewe ni nini?! Halafu ulivyo wa jabu, karibu wote hapo wamezungumzia suala la hiyo 3 business days.....hapa hatuzungumzii mambo ambayo ni exceptional bali uhalisia na huo niliokupa ndio uhalisia wenyewe!

You're talking abt kuangalia Credit Card History; wht if hiyo credit card ni mpya or no any history? Unataka kuniambia hapo huwezi kufungua paypal account na kuwa verified?! Acha kukariri!
Verification yao?! Akina nani?! Kama ninavyofikiri nini wakati mwenyewe ninayo hiyo Paypal account na ninaitumia kwa muda mrefu tu sasa?!

Rejea .... ....

Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?

Je mwenzetu uliota ukiwa mars kwamba muuliza swali yuko bongo?

Sasa kama huongei pumba ni nini? From word go nilikwambia inategemea upo nchi gani, Je, ulikuja na kusema unataka info kwa ajili ya Bongo? Wacha ngebe na hizo account za nyanya.
 
mi mpaka nimekataa tamaa sasa..ni kama miezi miwili hivi imepita tangu niombe crdb wanifungulie visa card yangu...kila nikienda mara njoo wiki ijayo , mara kesho mara baada ya wiki moja itakuwa tayari na nshajaza hadi ile form ya kuwa responsible mwenyewe watakapo activate huduma hii ambayo unajaza card no account details, tena nimejaaza zaid ya mara mbili maana mara ya kwanza nimajejaza wakasema baada ya siku 3 itakuwa tayari,nimerudi siku ya 3 eti form hawaioni ...!! nikajaza tena... baaday ya siku 3 kurudi wakanipiga kiswahili tena nikapoa wakanipa nyingine nikajaza, mpaka leo ni mwezi umepita paypal siwez ku confirm card yangu inagoma na benki kila nikienda napigwa kiswahili..aaarghhh...!!

yan hawa CRDB hawa ni ma**** sasa hivi mimi ni miezi kama minne nshajaza form mpaka nimechoka majibu yao sasa. Tulisahau kuzifax ngoja tuzifax tena oooh ulijaza form za zamani inabidi ujaze hizi mpya...mara ooh itakuwa tayari ndani ya cku 3 au 4 eeee tutakupiagia simu au kukutumia meseji ikiwa tayari. Nimeshajaza form kama mara 3 au nne mara ya mwisho nimejaza wiki iliyopita wakanambia nlijaza form za zamani nikajaza tena nyingine wakasema itakuwa tayari ndani ya wiki 1 na ntatumiwa email kupewa user id, password na mamude mengine mpaka leo bado tu. Yaani hii Tz huduma kwa wateja ZERO ukija Tanesco wanatusumbua kukata umeme kilacku ukienda kulipa bili foleni ukija mitandao yasimu ndo usiseme kama hawa voda kila siku promoshen za uongo tu ukija ISPs ndo usiseme yan kila sehem ujanjaujanja tu usio na lazima yoyote ile :focus: hao CRDB wameweka contact form kwenye website yao unapoteza muda wako kuwaandikia hupati majibu yoyote yan mpaka na hisi ku :confused2: WANABOA sana
 
Back
Top Bottom