V Victor Nicho Member Joined Mar 27, 2014 Posts 29 Reaction score 1 Sep 2, 2014 #1 Kwa anaye ifaham nokia limia 680 naomba aniambie kama inafaa kwa matumizi na anipe specification zake coz nimejaribu ku google sijapata
Kwa anaye ifaham nokia limia 680 naomba aniambie kama inafaa kwa matumizi na anipe specification zake coz nimejaribu ku google sijapata
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 2, 2014 #2 hakuna simu kama hio kaka sasa hivi tupo series ya 30, hakuna lumia inaiyoishiwa na 40, 50, 60 , 70, 80 wala 90
hakuna simu kama hio kaka sasa hivi tupo series ya 30, hakuna lumia inaiyoishiwa na 40, 50, 60 , 70, 80 wala 90