Watanzania walio punguani utawasikia wakipayuka hovyo FREEMASON
umeona eeenh...ndo msamiati mpya jijini
Watanzania walio punguani utawasikia wakipayuka hovyo FREEMASON
Kenya wapo hao, Nairobi.Anakuonyesha kinyesi mkono mmoja na mwingine anaomba pesa.Kama umeulamba unatoa tu, halafu hiyio harafu ndo balaa, lazima utoe something.
Watanzania walio punguani utawasikia wakipayuka hovyo FREEMASON
soon tu ngoja wakware wambemende, utaona kashavimba juu...miaka 16 si ni mkubwa kabisa huyo
Hawezi akawa kichaa huyo, kuna mmoja alikuaga anapita madukani anaomba hela halafu mkononi kashika bonge ya jiwe ukikataa anatemea jiwe mate then anakutishia nalo mpaka Umpe hela, ila alikua anaenda maduka yanayouzwa na wanawake tuu, akikuta mwanaume haingii, sikumoja tukaweka wanaume wakamkamata na kumpigaa,, kweli hatujamwonaga tena tena,, na Huyo akipigwa ataacha!daaa yani sijui inakuwaje aisee kwa maana eniweiz hatua za haraka en hivi kwani hizo pesa anatumia kufanyia nini mmh maana chizi na pesa wapi na wapi
Hawezi akawa kichaa huyo, kuna mmoja alikuaga anapita madukani anaomba hela halafu mkononi kashika bonge ya jiwe ukikataa anatemea jiwe mate then anakutishia nalo mpaka Umpe hela, ila alikua anaenda maduka yanayouzwa na wanawake tuu, akikuta mwanaume haingii, sikumoja tukaweka wanaume wakamkamata na kumpigaa,, kweli hatujamwonaga tena tena,, na Huyo akipigwa ataacha!
soon tu ngoja wakware wambemende, utaona kashavimba juu...miaka 16 si ni mkubwa kabisa huyo
Anatakiwa akamatwe atiwe ndan kwan ni mhalifu.
Huyo anatumiwa na mtu kuomba pesa na amekuwa trained kutofautisha jinsia. Hawataweza kumvimbisha cuz ndie anawaletea hela.
Kenya wapo hao, Nairobi.Anakuonyesha kinyesi mkono mmoja na mwingine anaomba pesa.Kama umeulamba unatoa tu, halafu hiyio harafu ndo balaa, lazima utoe something.