ukivuta pazia la notification huoni setting piaHabari wakuu, naomba msaada wenu, simu yangu aina ya Microsoft Lumia 640 nilifanya update kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10, baada ya hapo ikapoteza settings app hivyo inafanya mambo vitu vingi nashindwa kuoperate.
ukivuta pazia la notification huoni setting pia
Mkuu setting ni system app kama imefutika utahitaji kuflash.
tool ipo straight mkuu, inadownload file na kuflash.Inafanyika vipi mkuu naomba msaada hapo
Sent from my iPhone using JamiiForums
tool ipo straight mkuu, inadownload file na kuflash.
unaipata hapa
Restart, reset, or recover HoloLens 1
How to use Windows Device Recovery Tool to flash an image to HoloLens 1st Gen.support.microsoft.com
backup kama una vitu muhimu, na bando ya kutosha usisahau
Wazo zuri mkuu.
Wakati unafanya update Kuna tool mbili window insider app na window 10 advisor Kama uliingia window store Kisha ukapakua hiyo advisor huwa inacheck Kama wp yako Iko compatible na hiyo version mpya na kama Iko compatible Microsoft wana recommend window insider app Kwa kufanya upgrade.Habari wakuu, naomba msaada wenu, simu yangu aina ya Microsoft Lumia 640 nilifanya update kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10, baada ya hapo ikapoteza settings app hivyo inafanya mambo vitu vingi nashindwa kuoperate.
Wakati unafanya update Kuna tool mbili window insider app na window 10 advisor Kama uliingia window store Kisha ukapakua hiyo advisor huwa inacheck Kama wp yako Iko compatible na hiyo version mpya na kama Iko compatible Microsoft wana recommend window insider app Kwa kufanya upgrade.
Nataka kujua ulifanya Kwa njia hipi maana wp ukisha upgrade unatakiwa kuacha data on Kwa muda flani na lazima uwe umesha sign in, hilo sio tatizo la kufikia kuflash, vipi tell us now.
Further solution:
Unaweza rudisha old os(window 8.1) Kama ilivyokuwa hapo kale fuata haha maelekezo
How to roll back your smartphone from Windows 10 Mobile to Windows Phone 8.1 | Digital Citizen
Microsoft has released the Windows 10 Mobile upgrade for Windows Phone 8.1 smartphones and many of you, just like us, were eager to install it and see how the new operating system looks and works. However, some people may not like it while others may have issues with their smartphones, after the...www.digitalcitizen.life
Sawa jaribu ni rahisi kurudisha Ila fanya Kwa umakiniNilitumia upgrade advisor ambayo niliipata windows store.
Nimefanya hard reset bado settings haijarudi labda nijaribu hii ya kurejesha windows 8 kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nafikiri unaweza wacheki mafundi town.Mi Nokia windows phone yangu haisomi simcard natafuta mjanja wa kuifungia nimeletewa toka UK.
Ingawa zimepitwa na wakati lakini nimeona camera yake ni bora sana kuliko S6 samsung ninayotumia. Sasa hivi naitumia kwa Wifi tu.