Msaada kuhusu Microsoft Lumia 640

msihomba

Senior Member
Sep 14, 2014
117
44
Habari wakuu, naomba msaada wenu, simu yangu aina ya Microsoft Lumia 640 nilifanya update kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10, baada ya hapo ikapoteza settings app hivyo inafanya mambo vitu vingi nashindwa kuoperate.
 
ukivuta pazia la notification huoni setting pia
 
Naiona lkn nikifungua all settings inajibu
You need to install an app for this task.
Would you like to search for one in the store? Nikibonyeza yes inanipeleka play store halafu inasearch inajibu no results for this filtering

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_4689.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inafanyika vipi mkuu naomba msaada hapo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahsante mkuu nitafanya hivyo asubuhi nashukuru kwa msaada

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wakuu, naomba msaada wenu, simu yangu aina ya Microsoft Lumia 640 nilifanya update kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10, baada ya hapo ikapoteza settings app hivyo inafanya mambo vitu vingi nashindwa kuoperate.
Wakati unafanya update Kuna tool mbili window insider app na window 10 advisor Kama uliingia window store Kisha ukapakua hiyo advisor huwa inacheck Kama wp yako Iko compatible na hiyo version mpya na kama Iko compatible Microsoft wana recommend window insider app Kwa kufanya upgrade.

Nataka kujua ulifanya Kwa njia hipi maana wp ukisha upgrade unatakiwa kuacha data on Kwa muda flani na lazima uwe umesha sign in, hilo sio tatizo la kufikia kuflash, vipi tell us now.

Further solution:
Unaweza rudisha old os(window 8.1) Kama ilivyokuwa hapo kale fuata haha maelekezo
 
Mi Nokia windows phone yangu haisomi simcard natafuta mjanja wa kuifungia nimeletewa toka UK.

Ingawa zimepitwa na wakati lakini nimeona camera yake ni bora sana kuliko S6 samsung ninayotumia. Sasa hivi naitumia kwa Wifi tu.
 
Nilitumia upgrade advisor ambayo niliipata windows store.
Nimefanya hard reset bado settings haijarudi labda nijaribu hii ya kurejesha windows 8 kwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilitumia upgrade advisor ambayo niliipata windows store.
Nimefanya hard reset bado settings haijarudi labda nijaribu hii ya kurejesha windows 8 kwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sawa jaribu ni rahisi kurudisha Ila fanya Kwa umakini
 
Mi Nokia windows phone yangu haisomi simcard natafuta mjanja wa kuifungia nimeletewa toka UK.

Ingawa zimepitwa na wakati lakini nimeona camera yake ni bora sana kuliko S6 samsung ninayotumia. Sasa hivi naitumia kwa Wifi tu.
Nafikiri unaweza wacheki mafundi town.
 
Mi ninayo Window Phone 530 toka August 2019,ilikuwa inaleta sms kwamba ikifika December 31/2019 haitaweza kuwa supported google hivyo baadhi ya program hazitafanya kazi ikiwemo Whats'app. kwa sasa natumia kama simu ya kawaida siwezi ku google, whatsapp. facebook,twitter nk.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom