Hii simu si Huawei InAitwa hivyo hivyo mate 33, ni Mchina.Ili kujua fake naweza kuangalia vitu gani mkuu kwa simu za huawei,isije nikawa nmepigwa kweli
🤣🤣🤣Kama imeandikwa kama ulivyoandika hapo hiyo simu fake
Hiyo RAM imetisha sana!Ahaa ok,na inawezekana kweli kwakua hakuna nembo yoyote ya huawei,imeandikwa mate 33, ram 12 na storage 512,
ok mimi nipo dodomaKwa sasa nipo Mtwara
Kwa sasa nipo Mtwara