Msaada kuhusu Mate 33

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,133
2,987
Wakuu habari, naombeni msaada kwa anayeijua simu aina ya Huaei mate 33.

Nilinunua kwa mtu ,wakati nainunua yeye alikua anaitumia na alikua anatumia laini ya malawi.

Sasa nikiweka line zetu hizi hazifanyi kazi,ila nikiweka ya malawi inasoma,sasa nmerudi zangu sehemu nayoishi ,ya malawi haiwezi kusoma.

Msaada hapo wakuu shida inaweza kuwa nini na nifanyeje
 
Unazipata kwa bei hiyo

Screenshot_2021-07-17-13-59-49-850_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom