lodirofaa
Member
- Jul 6, 2021
- 25
- 62
Wakuu nimepata ajira kwenye meli katika maelezo yangu nimejitambulisha Kama fitter maan walikuwa wanahitaji zaidi fitter but Mimi nimesomea welding and metal fabrication
Nia yangu nijue kwenye meli fitter huwa na shughuli gani maana Mimi chuma naweza kukata naweza kuki fabricate pia naweza kufanya welding
Nia yangu Ni kujua je fitter kwenye meli huwa na majukumu gani hasa ili nijiongeze?
Natanguliza shukrani