Msaada kuhusu majukumu ya fitter kwenye meli

lodirofaa

Member
Jul 6, 2021
25
62
Wakuu nimepata ajira kwenye meli katika maelezo yangu nimejitambulisha Kama fitter maan walikuwa wanahitaji zaidi fitter but Mimi nimesomea welding and metal fabrication

Nia yangu nijue kwenye meli fitter huwa na shughuli gani maana Mimi chuma naweza kukata naweza kuki fabricate pia naweza kufanya welding

Nia yangu Ni kujua je fitter kwenye meli huwa na majukumu gani hasa ili nijiongeze?

Natanguliza shukrani
 
Umepata kazi ya kudumu(utakuwa mmoja wa Crew wa Meli ?) au? Hiyo kazi itakuwa alipewa Agent wa Mwenye Meli atafute mtu ndio kakutafuta wewe na kakutafuta wewe ili ale cha Juu kama kawaida yetu! Kiuhalisia Kama wewe hujui hata hata maana ya hilo neno huna vigezo na hiyo kazi.
 
Ndo nasikia kwa mara ya kwanza, mtu anapata kazi hata Hajui kazi yenyewe, hiyo kazi mmepeana kindugu, hakukuwa hata na usaili!! Ndugu fitter ni uchongaji vyuma!!, ila kama wewe ni welding & fabrication, sio rahisi kushindwa!! Maana bila shaka hizi machine unazijua, drill machine, lathe machine, power hacksaw machine, bending machine, grinding machine, milling machine, hiyo ndo fitter yenyewe
 
Azingatie haya maelezo ndio majukumu yake, kazi Zake zitakuwa ni uchongaji wa vyuma.
 
🤔🤔🤔

IMG_20210726_124755_226.jpg
 
Ndo nasikia kwa mara ya kwanza, mtu anapata kazi hata Hajui kazi yenyewe, hiyo kazi mmepeana kindugu, hakukuwa hata na usaili!! Ndugu fitter ni uchongaji vyuma!!, ila kama wewe ni welding & fabrication, sio rahisi kushindwa!! Maana bila shaka hizi machine unazijua, drill machine, lathe machine, power hacksaw machine, bending machine, grinding machine, milling machine, hiyo ndo fitter yenyewe
Ndugu hizo zote nazijua shida yangu ilikuwa kujua kma Kuna zaidi ya hivyo
 
Umepata kazi ya kudumu(utakuwa mmoja wa Crew wa Meli ?) au? Hiyo kazi itakuwa alipewa Agent wa Mwenye Meli atafute mtu ndio kakutafuta wewe na kakutafuta wewe ili ale cha Juu kama kawaida yetu! Kiuhalisia Kama wewe hujui hata hata maana ya hilo neno huna vigezo na hiyo kazi.
Nimesoma mandaratory corse ya ubaharia pia nimepata ajira ya kudumu shida ilikuwa kujua kma Kuna zaidi naenda kwenye meli kma crew member
 
Back
Top Bottom