Msaada kuhusu mabati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu mabati

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mganga wa Jadi, Sep 8, 2011.

 1. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari za leo wakuu!!!!
  Naombeni msaada kuhusu wapi nitapata bati imara na nzuri za kuezekea.
  Nimeenda Nabaki Africa ya hapa Dar lakini bei zao tumeshindwana.
  Ni nyumba ya vyumba vitatu iko maeneo ya kigamboni Dar 4 km from baharini.
  Nashukuru kwa msaada.
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kuna mabati katika maduka ya jeshi na bei zao huwa ni nzuri tu maana jeshini wana ax excemption. waweza kwenda mgulani au airwing utapata mabati mazuri tu ingawa sometimes ni timing kuyapata maana watu wanayachukua kwa sana. unachohitaji ni kuwa mwanajeshi au kuwa na rafiki mwanajeshi atakayekununulia. big up.
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Huu mchezo upo sana,(hapo ktk red). Sasa kila mtu akikwepa kodi, nchi itajengwa na nani?
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Malila unaonesha u mzalendo wa nchi yako, lakini unajua ya kwamba watu waliopewa dhamana ya kusimamia sheria pamoja na wafanyabiashara wakubwa ndo wakwepaji wa kodi?
  Umeiona list ya top taxpayers, tafsiri yake ni nini?
  <br />
  <br />
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Vipi mkuu bei ya Nabakai Afrika ikoje? Waweza kwenda mwenyewe pale kiwandani ALAF mkabala na redio Tanzania ukaweka oda yako ya yale mabati magumu kabisa kwa bei nafuu.
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nenda ALAF kaulizie bei zao japo nasikia si mbaya halafu wanakubali kulipa pole2 hadi ukimaliza ndo unachukua mabati yako
   
Loading...