Yupo sahihi kiaje na wewe umesema sio chini ya dola 100?
Nipe bei kamili ya uhakika maana yeye kasema simu 2 gharama ni 200$.
Mpya kabisa kwenye boksi lake au used?
USPS should be much less than that, ila ndiyo mzigo unatumwa Posta ya Tanzana.Andaa $105 Alf tegemea network lock kweny hizo simu
Simu nyingi za marekani hazisomi mitandao Africa
Hiyo network locked ni KWA simu mpya?
Ahsante mkuu,kuhusu muda wa mzigo kukufikia inachukua muda gani?USPS should be much less than that, ila ndiyo mzigo unatumwa Posta ya Tanzana.
Mimi nilimtumia mtu box kubwa la vifaa vya muziki nililipa $140.
Box hilo uzito na ukubwa ni angalau mara 20 ya simu mbili.
USPS kila kitu wameweka mtandaoni, kuna mpaka calculator ya gharama za mzigo kwenda Tanzania kwa uzito na dmensions za box.
Soma hapa
Pia, unaweza kwenda Posta ya karibu Marekani (USPS) watakupimia mzigo na kukuambia gharama.
Ni kweli kwamba simu zote za US ni network locked?USPS should be much less than that, ila ndiyo mzigo unatumwa Posta ya Tanzana.
Mimi nilimtumia mtu box kubwa la vifaa vya muziki nililipa $140.
Box hilo uzito na ukubwa ni angalau mara 20 ya simu mbili.
USPS kila kitu wameweka mtandaoni, kuna mpaka calculator ya gharama za mzigo kwenda Tanzania kwa uzito na dmensions za box.
Soma hapa
Pia, unaweza kwenda Posta ya karibu Marekani (USPS) watakupimia mzigo na kukuambia gharama.
Natumia LG velvet 5G ya AT&T napata huduma hadi vijijini ndani huko.Andaa $105 Alf tegemea network lock kweny hizo simu
Simu nyingi za marekani hazisomi mitandao Africa