Haiwezekani option ya kurisit ni kwa masomo yote na cyo Moja pekeee
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile a
Nikweli kiongozi nipo chuo Ila cheti Cha form four huwa kina umumuhimu wake zipo baadhi ya nafasi hutaka mtu mwenyew ufaulu wa kidato Cha nne SoMo la mathematics angalau awe na D ya mathe.Kama uko chuo tayari, unataka kurisit ili iweje?
Ok..kila la heri mkuuNikweli kiongozi nipo chuo Ila cheti Cha form four huwa kina umumuhimu wake zipo baadhi ya nafasi hutaka mtu mwenyew ufaulu wa kidato Cha nne SoMo la mathematics angalau awe na D ya mathe.
Nipo mbeya kiongozi kwani wew upo mkoa gani ??One subject only inaruhusiwa. Upo mkoa gani, njoo nikupe materials za kupasua A
Tatizo mkuu huwa kuna baadhi ya degree huwa zinazingatia sana ufaulu wa masomo fulani katika kidato Cha nne. Nadhani hiyo ndiyo imepelekea kuona kurisit hasa MathematicsUshauri wangu ni kwamba maliza hiyo certificate kwanza,pambana kuendelea na diploma ya accounts au Business Administration ukiweza upate na degree,usipotezee muda kurudia hilo somo moja haina maana kwa sasa elekea mbele usirudie vya nyuma
Boss relax ukitoka diploma na GPA ya 3.0+ degree yoyote ya mambo ya biashara+social studies unasoma....Siku hizi kurudia mtihani haipo wachache watu wa zamani ndo wamekomalia hivyoTatizo mkuu huwa kuna baadhi ya degree huwa zinazingatia sana ufaulu wa masomo fulani katika kidato Cha nne. Nadhani hiyo ndiyo imepelekea kuona kurisit hasa Mathematics
ππ Sawa mkuu upo correct sikatai ila kuna kijana alishindwa kusoma Bachelor ya Economics kwasababu ya pass ya Mathematics O level alisoma IRDP. Hii nayo imekaaje maana alipewa reason hiyo.Boss relax ukitoka diploma na GPA ya 3.0+ degree yoyote ya mambo ya biashara+social studies unasoma....Siku hizi kurudia mtihani haipo wachache watu wa zamani ndo wamekomalia hivyo
Hahahah sawa ila elimu ya bongo nimekaa chini nikajua inataka makaratasi tu,nikayatafuta nikawapa nipo kivulini nimeona mengiππππ Sawa mkuu upo correct sikatai ila kuna kijana alishindwa kusoma Bachelor ya Economics kwasababu ya pass ya Mathematics O level alisoma IRDP. Hii nayo imekaaje maana alipewa reason hiyo.
Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho 10.Habari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa.
Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four. Nahitaji kujua Kama inawezekana, na je process zake zikoje?? Marks huwa zinakua sawa Kama za wanafunzi wa kawaida ?? na vipi kuhusu gharama zake?
Nimeuliza humu sababu najua JF wapo watu tofauti tofauti Kuna wengine wlimu, wengine viongozi, wengine walishawahi fanya hiyo mitihani na wengine wanatarajia pia kufanya nk, nakaribisha mawazo yenu, ushauri na hata kunikisoa pia Ahsanteni.
Usikubali kukatishwa tamaa na wasiojua, komaa urudie hilo somo na umpate mtu akunoe hasa hasa na uelewe vizuri utajipongeza sana badae na kabla hujaendelea diploma ukipata gape piga baadhi ya topics za hesabu za advanceHabari zenu wakuu.
Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa.
Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four. Nahitaji kujua Kama inawezekana, na je process zake zikoje?? Marks huwa zinakua sawa Kama za wanafunzi wa kawaida ?? na vipi kuhusu gharama zake?
Nimeuliza humu sababu najua JF wapo watu tofauti tofauti Kuna wengine wlimu, wengine viongozi, wengine walishawahi fanya hiyo mitihani na wengine wanatarajia pia kufanya nk, nakaribisha mawazo yenu, ushauri na hata kunikisoa pia Ahsanteni.
Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho
Nashukuru sana ππΏππΏ kwa ushauri wako mkuu naamini umenisaidia sana angalau najua pa kuanzia sasa.Inaruhusiwa kabisa. Ipo hivi kwa anayerudia mtihani yaani second sitting or more than anaruhusiwa kusajili somo moja na kuendelea ila kama first sitting student hususan wale wa QT (mtihani wa maarifa) wanaruhusiwa kusajili masomo manne mwisho 10.
Relax kijana mwezi January nenda kituo unachotaka kufanyia mtihani omba reference number utapewa bure kisha nenda nayo katengeneze control number kwa ajili ya malipo yako. Ukilipia rudi cafe endelea na usajili wako sasa wa masomo huku ukiwa na passport size moja iwe scanned kisha utaupload.
Sawa kiongozi Asante sana nitafanya hivyo.
Usikubali kukatishwa tamaa na wasiojua, komaa urudie hilo somo na umpate mtu akunoe hasa hasa na uelewe vizuri utajipongeza sana badae na kabla hujaendelea diploma ukipata gape piga baadhi ya topics za hesabu za advance