Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko MBOZI - SONGWE shule ya SIMBEGA yan ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa Huyu dogo kapiga sayansi fresh sema wamempanga hge na hatuelew tufany nn kwaio wajumvi tusaidiane muongozo wa kuhama shule a-level