Nkulu wa nchito JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 1,956 Reaction score 2,585 Sep 4, 2025 #21 Hapa pananihusu
M Mpaina JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 2,487 Reaction score 3,547 Sep 4, 2025 #22 olika said: Samahani kidogo naomba kujuzwa zaidi, je kama ni muajiriwa serikalini ukibadilisha majina haitaweka matatani ajira yangu baada ya kuanza kutumia jina jipya? Pili inawezekana kubadilisha majina yote matatu na isilete shida? Click to expand... Hapana ni utaratibu wa kisheria Deed poll inakuwa kama certificate ndio maana lazima Iwe registered na serikali
olika said: Samahani kidogo naomba kujuzwa zaidi, je kama ni muajiriwa serikalini ukibadilisha majina haitaweka matatani ajira yangu baada ya kuanza kutumia jina jipya? Pili inawezekana kubadilisha majina yote matatu na isilete shida? Click to expand... Hapana ni utaratibu wa kisheria Deed poll inakuwa kama certificate ndio maana lazima Iwe registered na serikali
Blueboy Jr JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 493 Reaction score 794 Sep 4, 2025 #23 Me nilienda ardhi wakaanda zile form then kwa wakili kupiga mhuri 10k. Then nikarudi ardhi nikallipia 30k . nikapwa control no ya 32500. Kwisha
Me nilienda ardhi wakaanda zile form then kwa wakili kupiga mhuri 10k. Then nikarudi ardhi nikallipia 30k . nikapwa control no ya 32500. Kwisha