Issue ni kwamba wachina siyo waaminifu hata kidogo-Hata description huwa wana-fake ili mteja ujichanganye wakupige mitama userereke mwenyewe 🤣 🤣 .Kama ulisoma vyema post yangu ukaielewa,nilisema hata Amazon ameshaanza kuwa-ban suppliers wengi kutoka china kwa sababu wana manipulate wateja hivyo wanaaribu credibility ya site zao.Hata eBay sasaivi imejaa wachina...issue sio mchina au market fulani.. issue ni Description, Specifications na reviews,sellers sio wajinga..ukisoma hapo specification na description seller hana hatia..shida ni watu wa wenyew hawazingatii...mfano lets say unaingia jiji au kupatana,unaandika kbisa simu ina shida ya mic ,lakin mtu hasomi description ananunua hivyo hivyo..akifka kwake anaanza piga simu...hapo hakuna dispute coz sellers amesha declare kila kitu...shida ni wanunuaji
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app