Msaada kuhusu kikuu, naona iphone 12 kwa bei chee

Habari wakuu,

Bila kupoteza mda naomba mnitoe tongotongo kidogo kuhusu hizi IPHONE 12 zinazouzwa KIKUU (Rejea picha ya chini) kwa bei sawa na bure maana kuna rafiki angu kanishirikisha hii ishu imebidi nimwambie asubiri kwanza tufanye research..

NawasilishaView attachment 1914221
Hizi Sio iPhone wewe. Hizi Ni itel na hizo Specs Sio za kweli. Hiyo 512GB Storage Ni Fake,hiyo 16GB RAM Ni uongo na hizo 6000mAh za Battery Ni uongo.
 
Back
Top Bottom