Habari za jumapili wanajamii forums naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi frequency za TBc 1 na STAR TV Maana nashindwa kuelewa kama wamebadilisha amavipi mwanzoni ilikuwa zote zinaonyesha vizuri lakini sasa zimekata toka mwaka jana mimi niko mtwara mwenye kujua naomba tafadhali anijuze

Jamani nami naomba msaada nili reset data base kupitia menu ya remote na kusababisha kufuta channel zote.Dish futi 6
kama una huhakika hujaugusa ungo kule uliko, na inakuonesha NO cHANNel, sio No signal... Nenda menu> installation> antenna settings then tafuta intelsat 906 64.2 E, kwenye lnb power inabidi iwe 5150 au 5750 na sio zaidi ya hapo (k@m sijakosea) then ukimaliza bonyeza menu, nenda manua search angalia frequence na symbol rate then search(hii inadepend kama nae alitumia hiyo hiyo satellite) kama hakuitumia inabidi uanze kujaza.. Kwa kukusaidia anza na itv.. Andika 3643 h 8545 (inategemea fibre ya kwenye lnb imekaaje so unaweza weka vertical badala ya horizontal) then search... HUkUFAFanua kama unatumia lnb zaidi ya moja.. Kama ni zaidi ya moja kuna disc switch pale kati.. Angalia cband ilipokaa kwenye port gani, kama ni 1 2 3 au 4. Nyingine wameziname A b c na d. So inabidi kule kwenye antenna settings ilipoandikwa discq... Urekebishe..
Nb.. Ukifasnikiwa kurudisha za itv, basi utakuja hapa kuomba frequence kwa wakuu watakusaidia,
regards
Mungelimuuliza kwanza anatumia risiva aina gani hapo ingelikuwa rahisi kumuelekeza.
mkubwa na mimi nilifuta bahati mbaya kale ka lnb kadogo kama sikosei ni ku band, nahitaji lnb power
kama una huhakika hujaugusa ungo kule uliko, na inakuonesha NO cHANNel, sio No signal... Nenda menu> installation> antenna settings then tafuta intelsat 906 64.2 E, kwenye lnb power inabidi iwe 5150 au 5750 na sio zaidi ya hapo (k@m sijakosea) then ukimaliza bonyeza menu, nenda manua search angalia frequence na symbol rate then search(hii inadepend kama nae alitumia hiyo hiyo satellite) kama hakuitumia inabidi uanze kujaza.. Kwa kukusaidia anza na itv.. Andika 3643 h 8545 (inategemea fibre ya kwenye lnb imekaaje so unaweza weka vertical badala ya horizontal) then search... HUkUFAFanua kama unatumia lnb zaidi ya moja.. Kama ni zaidi ya moja kuna disc switch pale kati.. Angalia cband ilipokaa kwenye port gani, kama ni 1 2 3 au 4. Nyingine wameziname A b c na d. So inabidi kule kwenye antenna settings ilipoandikwa discq... Urekebishe..
Nb.. Ukifasnikiwa kurudisha za itv, basi utakuja hapa kuomba frequence kwa wakuu watakusaidia,
regards
kama una huhakika hujaugusa ungo kule uliko, na inakuonesha NO cHANNel, sio No signal... Nenda menu> installation> antenna settings then tafuta intelsat 906 64.2 E, kwenye lnb power inabidi iwe 5150 au 5750 na sio zaidi ya hapo (k@m sijakosea) then ukimaliza bonyeza menu, nenda manua search angalia frequence na symbol rate then search(hii inadepend kama nae alitumia hiyo hiyo satellite) kama hakuitumia inabidi uanze kujaza.. Kwa kukusaidia anza na itv.. Andika 3643 h 8545 (inategemea fibre ya kwenye lnb imekaaje so unaweza weka vertical badala ya horizontal) then search... HUkUFAFanua kama unatumia lnb zaidi ya moja.. Kama ni zaidi ya moja kuna disc switch pale kati.. Angalia cband ilipokaa kwenye port gani, kama ni 1
2 3 au 4. Nyingine wameziname A b c na d. So inabidi kule kwenye antenna settings ilipoandikwa discq... Urekebishe..
Nb.. Ukifasnikiwa kurudisha za itv, basi utakuja hapa kuomba frequence kwa wakuu watakusaidia,
regards
Tbc1 3892/4444 na Star 3884/4900