kama una huhakika hujaugusa ungo kule uliko, na inakuonesha NO cHANNel, sio No signal... Nenda menu> installation> antenna settings then tafuta intelsat 906 64.2 E, kwenye lnb power inabidi iwe 5150 au 5750 na sio zaidi ya hapo (k@m sijakosea) then ukimaliza bonyeza menu, nenda manua search angalia frequence na symbol rate then search(hii inadepend kama nae alitumia hiyo hiyo satellite) kama hakuitumia inabidi uanze kujaza.. Kwa kukusaidia anza na itv.. Andika 3643 h 8545 (inategemea fibre ya kwenye lnb imekaaje so unaweza weka vertical badala ya horizontal) then search... HUkUFAFanua kama unatumia lnb zaidi ya moja.. Kama ni zaidi ya moja kuna disc switch pale kati.. Angalia cband ilipokaa kwenye port gani, kama ni 1 2 3 au 4. Nyingine wameziname A b c na d. So inabidi kule kwenye antenna settings ilipoandikwa discq... Urekebishe..
Nb.. Ukifasnikiwa kurudisha za itv, basi utakuja hapa kuomba frequence kwa wakuu watakusaidia,
regards