Habari za jumapili wanajamii forums naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi frequency za TBc 1 na STAR TV Maana nashindwa kuelewa kama wamebadilisha amavipi mwanzoni ilikuwa zote zinaonyesha vizuri lakini sasa zimekata toka mwaka jana mimi niko mtwara mwenye kujua naomba tafadhali anijuze