Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Bora umeelezea ukweli kama hivi mkuu, ili watu wapate picha kamili ya Mambo jinsi yalivyo pande zile.

Mfumo wa ajira umeharibuka kote mpaka jeshini. Sasa hivi kama una devote muda wako kwenye field fulani bora uongozwe na passion na sio kwa mentality ya kutafuta ajira.
 
Oohh nimeshakuelewa hiyo miaka mitatu unayosemea wewe kuna mdau ameshaelezea kule juu kuwa ni kwa wale wanajeshi ambao wanataka nyota ila hawana degree yoyote kwahiyo wanapiga course miaka sawa na ya kusomea degree ila kwa mtu aliye na degree tayari basi TMA ni miezi tisa tu na si chini ya hapo
Sahv hakuna cha degree wala nini, cadet miaka 3. Nadhani wanataka kuondoa huu utaratibu wa kuapisha kila mwaka. Hata South Africa wao utaratibu wao Cadet 3yrs.
 
Habari zenu wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.

Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.

Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?

Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
Nina rafiki yangu aliingia JKT 2016 akiwa na degree yake,amerudishwa mtaani mwezi wa 5 mwaka huu.
 
Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.
 
Sahv hakuna cha degree wala nini, cadet miaka 3. Nadhani wanataka kuondoa huu utaratibu wa kuapisha kila mwaka. Hata South Africa wao utaratibu wao Cadet 3yrs.
Kwahiyo na intake watakuwa wanachukua kila baada ya miaka mitatu? Maana mbona hata degree nyingi vyuoni ni miaka mitatu na bado kila mwaka watu wanagraduate? Labda waseme wasiwe wanachukua intake kila mwaka

Ila kama wakiwa wanachukua basi wajue lazima kila mwaka wataapisha tu maana wakati wengine wanamaliza kuna wengine watakuwa wapo katikati na kuna wengine watakuwa ndo wanaanza
 
Habari zenu wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.

Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.

Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?

Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
hahaa dada si ukawe mwanajeshi tu ujue hayo yote coz najua ht k ni kampuni hawawez kutoa taarifa zote izo kw kila mtu tu
 
Lakini si nimesikia kuwa jeshini unaweza kwenda kusomea kitu kingine tofauti kabisa na ulichosomea uraiani?

Yaani mfano uraiani ulisomea degree ya uhandisi ila jeshini ukaenda kusomea urubani si inawezekana tu au?
Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.
 
Kupata ajira kwenye majeshi yetu sasa hivi ni mbinde,kila mwaka wanarudishwa nyumbani magraduate wakujitolea JKT baada ya kukaa huko zaidi ya miaka miwili.
Nina binamu yangu ni graduate batch yao wamerudishwa mwezi wa saba.
 
Fani gani
 
Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.
Lkn kanali sio mtu mdogo mkuu.
 
Itategemea na hali ikoje nakupa mfano hapa jkt maramba juzi waliorudi nyumbani kuja jamaa alikuwa ni Engineer
Mkuu mbona huwi specific ili watu wajue, kuna baadhi ya field za engineering hazihitajiki jeshini, nijuavyo mimi fani ya civil, It,electrical na mechanical uhitaji wake upo hususan kwa ajili ya sera ya viwanda, ujenzi nk ambavyo jeshi limejikita, yy ni engineer wa nini, pili pamoja na proffesion wanaangalia pia na tabia na utayari wa muhusika
 
Hahahaahah Mimi Nina ndugu yangu kabisa kamaliza JKT kujitolea mafinga huko na degree kabisa ila katoka bila bila .

So kuwa na degree sio guarantee
Bachelor ndo usiseme, nina mwanang anamalizia mkata wake wa miaka miwili anarud zake home,, kila sku ni kumtukana magu,
 
Jeshi ilikuwa zamani, sasa hivi mambo yashakuwa mengi vijana wanageuza kama ni sehemu ya ajira...

Yaani siku hizi kuna vijana wanakimbilia kuwa wanajeshi!!!
 
Back
Top Bottom