Kwanza atambue degree sio kigezo cha kupata nyota,na ni elimu ya kawaida sana Jeshini,wapo wengi mno.Anaweza akapita kote, kuanzia Jkt,Tpdf na akafika kozi ya uofisa akachemka.Namshauri kama ataingia jeshini aingie tu,asijiwekee atakuwa nani huko mbeleni,hayo yanakuja tu.Hata asipokuwa afisa bado atakuwa vzr tu sio lazima awe afisa.Akienda na akili hiyo tangu awali atachemka tu.
Oohh sawaHuku kwetu nmeona sanasana ambao wanaenda kwenye hizo OP ni kuanzia rank ya Major kushuka chini yaani Captain, Leutenant na kuendelea kushuka chini. Ila kuanzia Leutenant Colonel, Colonel na kuendelea kule mbele sijaonaga kama wanaenda OP
kwa wasiojua JWTZ kuna kila taaluma kuna maproffessor na watu wa PhD wengi tu.
Mfano waligoma waongoza ndege hawa jamaa wakaingia kusaidia
.Wakagoma Ma Dr Muhimbili hawa jamaa wakaingia kusaidia.
Ninachowapendea hawa jamaa sio watu wa rushwa wao ni amri.
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.
Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.
Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?
Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
😂😂😂😂😂sasa kuna kitu inaitwa Heavy heart na kaza viungo siku ukikutana nazo utajuta kupafahamu jeshini
Sasa hayo maswali si ungemuuliza huyo ndugu yako.??
Tatizo umei set akili yako kitu fulani alafu unakuja kuuliza ,unaambia ukweli unaukataa..
Jeshini sikuhizi ni kama enzi za nyerere uzalendo kwanza mbwembwe nyingine baadae..
Ataanza JKT, kisha atasota kwa muda fulani kupimwa uvumilivu, kisha atpewa bakabaka, kisha itamchukua muda si chini ya mwaka mmoja kuwa mwanajeshi wa kawaida, baada ya hapo atapelekwa kusoma u afisa(miezi 9), lakini hii yote inategemea connection pia so anaweza sota zaidi..
Aya kila la kher sidhan kama kutaja kambi n ishu kubwaNipo kambi ya ufhfddggfjdegjg
Uwe Makin na muda wako kama upo nyumban huna shughuli ya kufanya nenda ila kama upo na goli lako linakuingizia sh kwa siku sikushauri uende nnaongea kwa experience yangu utakuja kukumbuka.Nipo kambi ya ufhfddggfjdegjg
Uwe Makin na muda wako kama upo nyumban huna shughuli ya kufanya nenda ila kama upo na goli lako linakuingizia sh kwa siku sikushauri uende nnaongea kwa experience yangu utakuja kukumbuka.
Take it easy my dear,case closedJamani umeuliza kambi ninayoenda mimi haujauliza kambi anayoenda huyo mdogo wangu sasa si ndo nimekujibu au?
Bora umeelezea ukweli kama hivi mkuu, ili watu wapate picha kamili ya Mambo jinsi yalivyo pande zile.Kabisa mkuu. Mimi kuna mwanangu amemaliza chuo mwaka 2015 tena ngazi ya shahada na ana GPA kali sana.
Tangu aende JKT ni mwaka wa 4 huu bado haja panda ngazi yoyote hadi ameshajikatia tamaa ana mpango wa kurudi kitaa aanze kufundisha tuitions au kuuza mitumba tu.