Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Habari zenu wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.

Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.

Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?

Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
Vp mdada na ishu yenu ya jeshi mliisha wapi?
 
Mpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..

Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.

Bachelor degree - nyota tatu (captain).

Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.

Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).

Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.

I hope nimesaidia.
Kule ni standard 7 na secondari form4 na usisahau kusota JKT miaka miwili, kulima kwa kwenda mbele, ukiahahitimu utarudi nyumbani kusubiri bahati yako kupata au kukosa.
 
Kabisa mkuu. Mimi kuna mwanangu amemaliza chuo mwaka 2015 tena ngazi ya shahada na ana GPA kali sana.

Tangu aende JKT ni mwaka wa 4 huu bado haja panda ngazi yoyote hadi ameshajikatia tamaa ana mpango wa kurudi kitaa aanze kufundisha tuitions au kuuza mitumba tu.
Duh
 
Ndicho kilichopo na nimekisema mwanzo kabisa sasa hivi degree sio inshu jeshini na zilikuwa zinapigwa vita kwa sababu hiyo.
.
Sasa hivi ukiingia jeshini na degree yako sijui ya sheria sijui education utajiona huna tofauti na darasa la saba walioingia jeshini zamani utaanza na ukoplo au sajini
Duh asee
 
Unajua kazi za majeshi zilikuwa zinadharaulika sana zamani baada ya mambo kubana wengi wakakimbilia huko so promotion zilikuwa za kutosha hali hii iliamsha morale ya in service kujiendeleza pia!! mwisho wa siku degree zipo kibao jeshini, swali utawapeleka wote vyeo?? Bureaucracy in kataa hapo. Kwa mana hiyo lazima upepo ubadirike. Kwa hiyo mkuu wengi hawalijui hili wanaishia kukariri tu ukiwa na degree lazim uwe officer some thing wrong!
Dah kaz ipo
 
Mpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..

Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.

Bachelor degree - nyota tatu (captain).

Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.

Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).

Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.

I hope nimesaidia.
Bakabaka ndo vikosi mkuu au?
 
Bakabaka ndo vikosi mkuu au
 
Samahan brother Nina undergraduate degree naweza kwenda ksomea uafisa
 
Mimi nina miaka 60 nilitaka kuingia jeshini rafiki yangu akanikatisha tamaa eti miaka60 siwezi pata nafasi jeshini hata ya upishi akaniambia labda kambini kama wana shule ya chekechea uajiriwe kama babu ajili ya kuwachekesha watoto wao na kuwapa hadithi jioni.Na lazima wakisimama watasema shikaaamooooo babuuuuu sio shikamooooooo Mwalimuuuuuuuuu.
Watu wabaya sana kukatisha wenzao tamaa
 
Mpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..

Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.

Bachelor degree - nyota tatu (captain).

Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.

Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).

Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.

I hope nimesaidia.
Huyo ndugu yako wa form 6 kupata nyota 2 ni bahati tu ilimdondokea,mimi nina rafiki yangu aliingia na form 6 anakaribia miaka 15 tangu aingie na sijamuona akiwa hata na nyota moja labda kama kapewa sasa hivi.
 
Unaanza uzalendo, ukuruta, service man/girl, bakabaka, then inakuja course ya maafisa anaenda. Ila mambou yamebadilika inaweza chukua muda kupata nyota. Kulingana na nlivyopita mujibu wa sheria, 😜 😜 😉
Ukuruta sio cheo , uzalendo sio cheo,service man sio cheo. Hizo ni recruit stages

Vyeo halisi Kwa askari : Kuna private,cpl, sgt, staff sgt, WO-2, Sgt major (korokoro)
 
Back
Top Bottom