Kwanini usiseme tu kwamba ni wewe mama la mama?
Mwambie kwasasa itamchukua si chini ya miaka 5 kupata hicho cheo, tena kanyota kamojaAna Bachelor ya Human Resource Management















Sawa nimekusoma boss, kwa mshahara now days kupo poa si kama zamani! akikunjua moyo fresh tu, kuna mambo mengi mazuri si vema kuweka kila kitu hapa.kwa upande wa vyeo mifumo imekuwa ikibadilika mara kwa Mara ( no specific formula) ila kwa sasa utaratibu ni lazima uanze na vyeo vya chini kabla ya nyota ya kwanza hasa kwa askari wa muda mchache kazini, Kama access ipo aende tu atafurahi mwenyewe ni uvumilivu na nidhamu kwa sana mengine atayakuta huko huko.
Umeelezea vizuri sanaNadhani mambo yamebadirika saizi, nakupa hii ni experience kutoka kwa jamaa zangu nliomaliza nao form six 2015
Kabla yetu, yaani waliomaliza six mwaka 2014 walikua wakienda jkt kwa mujibu wakabakizwa jeshini walifanya course kwa muda wa miezi 9 Tu then wakapata nyota but kwa tuliomaliza 2015 mambo yalibadirika kidogo maana Mimi kuna jamaa zangu walibakizwa jeshini wakakaa kwanza kwa muda wa mwaka mzima bila kufanya chochote just wapo Tu kambini wanaamka, wanakula na kulala ili kupimwa uvumilivu.
Baada ya hapo mwaka uliofata 2016 walipelekwa course ya miezi mitatu, maana wao walikua wamepitia jkt after form6 so ile miezi mitatu waliyopekekwa course ilikua kukamilisha miezi sita ndipo wakapata bakabaka, wakafanya kazi mpaka 2018, ndipo wakapelekwa Monduli kwa ajili ya course ya uafisa (nyota), na course ya uafisa kwa sasa hivi ni kama mtu anaechukua degree, so kwa mtu alietoka six anasoma uafisa kwa muda wa miaka mitatu kama anaechukua bachelor, but kama ana degree tayari huyo basi anafanya course kwa muda wa miezi Tisa tuu
Zamani ilikua mtu mwenye bachelor anenda moja kwa moja kufanya course ya uafisa (nyota) kama akichaguliwa kujiunga na jeshi, but kwa sasa si hivo tena, mtu mwenye bachelor akichaguliwa anaenda kuanza course ya ucadet kwa muda wa miezi 6 (wanaita kumtoa uraia wa kawaida) baada ya hapo anapata bakabaka then anasubiri intake ya kwenda kusoma uafisa (nyota) kwa muda wa miezi Tisa ila inategemea na mambo mengi kama vile Afya, connection, nidhamu, so kwa sasa mtu kuishia ucadet (bakabaka) ingawa ana degree yake ni kitu cha kawaida Sana kama amekosa vitu nilivyovitaja hapo , hope nimesaidia kwa namna moja ama nyingine.
NB: ukimaliza course ya uafisa kama Umetokea form six au Una bachelor unapata nyota moja (ingawa hapa sina uhakika Sana kama nimekosea watanisahihisha wengine)
Sikutanii kuna baba yangu mdogo yupo huko, alinambia JKT unaweza kukaa hadi ukamaliza mafunzo au inawezekana ukaingia bila kupitia JKT kwa mujibu wa jinsi watakavyotangaza wao jeshi watu wanaowataka kutoka uraiani, lakini mafunzo TMA alinambia si chini ya miaka 3. Hivyo kama kweli huyo mdogo wako anataka kwenda huko ajiandae kupoteza si chini ya miaka 5.kweli mkuu au unatania tu?















Ndio inawezekana kabisa fulsa zipo, unaweza kujiendeleza kwa kozi mbalimbali kulingana na sifa yako mfano PCB kwa madaktari, PGM marubani n.kShukrani mkuu halafu eti nasikia jeshini unaweza kusomea kitu kingine tofauti na ulichosomea uraiani ni kweli?
Yaani mfano uraiani umesomea udaktari halafu jeshini ukataka kusomea urubani inawezekana kweli hiyo?
Mtu anaeulizia JESHINI mshahara sh ngapi...Hafai kuwa hata jirani ake mwanajeshi achilia mbali kukosa sifa zakuwa mwanajeshi.
Sijawahi tamani na sitokaa nitamani kuwa mwanajeshi...Sina kipaji hicho kabisa.
Oohh nimeshakuelewa hiyo miaka mitatu unayosemea wewe kuna mdau ameshaelezea kule juu kuwa ni kwa wale wanajeshi ambao wanataka nyota ila hawana degree yoyote kwahiyo wanapiga course miaka sawa na ya kusomea degree ila kwa mtu aliye na degree tayari basi TMA ni miezi tisa tu na si chini ya hapoSikutanii kuna baba yangu mdogo yupo huko, alinambia JKT unaweza kukaa hadi ukamaliza mafunzo au inawezekana ukaingia bila kupitia JKT kwa mujibu wa jinsi watakavyotangaza wao jeshi watu wanaowataka kutoka uraiani, lakini mafunzo TMA alinambia si chini ya miaka 3. Hivyo kama kweli huyo mdogo wako anataka kwenda huko ajiandae kupoteza si chini ya miaka 5.![]()
Gen James Mattis, Mad dog The worrier monkYeah US magenaral wanaenda operation na wanapigana kama wanajeshi wengine. Kuna general mmoja jina limenitoka ila alishakuwa waziri wa ulinzi nchini marekani.
Ndio inawezekana kabisa fulsa zipo, unaweza kujiendeleza kwa kozi mbalimbali kulingana na sifa yako mfano PCB kwa madaktari, PGM marubani n.k
Labda jeshi la Sungusungu, sasa hivi majeshi yote haijalishi linaitwaje huanzi na nyota
Labda jeshi la Sungusungu, sasa hivi majeshi yote haijalishi linaitwaje huanzi na nyota
Duuh hii hatari ninachojua mimi Unaenda na basic education labda ya Form six ulisoma PCM then unaenda kusomeshwa uingeneer wa Mitambo ya vita hapo sawa lakini sio Form four eti uruke uende mpaka Eng duuh... Ndo maana wanafunzi wa vyuo na form six wanakuwa na chance kubwa zaidi maana kumuendeleza form four au la saba akasomee uingeneer ni balaaa.. hana msingi mzuri kuhusu hayo masomo so ni ishu sanaaYeah hilo sawa ila nilikuwa nauliza kwa mfano mtu hajawahi kabisa kusomea uhandisi yaani tuseme uraiani kasomea unesi halafu akaenda jeshini je inawezekana akasomea uhandisi huko jeshini kitu ambacho hajawahi kusomea hapo kabla?