Msaada kuhusu CPA

Yuzo mawe

JF-Expert Member
May 31, 2019
495
1,000
Habari wakuu,

Mdogo wenu Yuzo mawe ni mzima kabisa,kwakweli ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi kwa kutufanya mpaka sasa hivi tunapumua,

Sasa ndugu 'zanguni' Wana jf nilikua naomba kujua majibu/facts ya maswali/vitu yafuatayo;-

1.CPA ina faida gani kwa bachelor's graduate?,

2. Je ni level gani ambayo graduate wa Bachelor ya accounting and Finance huanza?,

Napenda kutanguliza shukrani kwenu,

Asanteni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom