Nimenunua laptop mpya aina ya TOSHIBA ila bado sija-install Ant-Virus msaada niliokuwa nahitaji ni kwamba:Nikidownload Ant-Virus kwenye mtandao then nika-install je kutakuwa na usalama kweli wa computer yangu;Ama ni bora kununu package ya Ant-Virus na ku-install na ni aina gani ya Ant-virus ambayo iko zivuri kiutendaji kulinganisha na zingine.Nalabda kama kuna ushauri mwingine katika hili nitashukuru nawakilisha wanajf.