Msaada jamani, jinsi ya kuipata ant-virus yangu !

Msaada jamani, jinsi ya kuipata ant-virus yangu !

Emmado

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
225
Reaction score
278
Nilikua natumia ant-virus ya kaspersky ya 2011, sasa kuna folder flani lilikua na trial ya kaspersky hiyo hiyo.... sasa kuna mtu nilimpa atumie laptop yangu, aka install ile trial wakati kulikua na iiliyo kua installed ya mwaka mzima,. sasa trial ndio nayo itumia ambayo inaisha kama baada ya mwezi hivi. Naombeni msaada kama kunauwezekano wa kuirudisha ile ya mwanzo...
 
Ukimwazima mti laptop, hata mwenyewe unapotumia computer make sure unatumia account isiyokua na administrative previllages. Unaweza ku restore back. windows exp na kuendelea zina hii feature inayokuwezesha kurudisha computer yako kama ilivyokua tarehe fulani huko nyuma. Ila mpaka uwe ume enable hiyo feature.
 
Back
Top Bottom