Msaada kuhusiana na MAD

Appollo 11

JF-Expert Member
Apr 15, 2016
205
520
habari wana jamvi
bila kuwachosha naomba kuulizia kama kuna mtu yeyote anaefahamu au amewahi soma Masters of Arts in Demography (MAD)

Napenda kupata experience kuhusu program hii,

1. advantages zake
2. challenges
na kama bado ni marketable pia mtu aliesoma program hii anaeza fanya kazi katika taasisi au mashirika gan, na kazi zipi anaeza kufanya.

Nimeulizwa swali hapa mtaani nimekosa majibi lakini naamni nyinyi ndugu zangu hamuezi kosa jawabu, naomba msaada wenu wana Jf

Nawasilisha.
 
Aisee..!!

Kama nchi kazi tunayo.
Mkuu elimu ya bongo tunaijua wenyewe, ikiwa una namna ya kusaidia jambo hapa wewe saidia kiroho safi tu.
Ikiwa kuna taarifa muhimu unahisi ingemfaa mdau wewe weka tu hapa kwa nafasi yako.

Watu hupenda kuulizia humu jf ili wapate watu wengi wenye uzoefu tofauti tofauti.
 
Inahusiana na mambo ya takwimu za watu, unaweza kufanya kazi sehemu yoyote kutokana na uhitaji, mfano; kwenye usajili wa watu, mochwari n.k
 
Back
Top Bottom