Msaada kuhusa ujenzi wa nyumba Dar es salaam

wasaa9

JF-Expert Member
Jun 9, 2017
566
209
Habar zenu wapendwa.

Mimi kama kijana mwenzenu ningependa kama itawezekana nimiliki nyumba ata chumba na sebure hapa Dar es salam sehemu yeyote kiwanja siyo tabu.

Kwa yeyote mwenye uzoefu wa kufahamu urahisi au ugumu wa material za ujenzi katika jiji hili la Dar es salaam anisaidie.
 
Habar zenu wapendwa.
Mm kama kijana mwenzenu ningependa kama itawezekana nimiliki nyumba ata chumba na sebure hapa dar es salam sehem yeyote.kiwanja siyo tabu.

Kwa yeyote mwenye uzoefu wa kufaham urahisi au ugumu wa material za ujenzi katika jiji hili la dar es salaam anisaidie.
Mada yako hujaiweka vizur au hujafunguka vizur kwamba umekwama nini ili usaidiwe?
Materials yamejazana mengi kwenye hardwares kila kona.
Ni wewe tu kuwa na pesa ya kununulia
 
Sasa unasema una ndoto ya kupata japo chumba na sebule,halaf unasema kiwanja sio tabu...heb tafta kwanza kiwanja.mengine tutazungumza huko mbele
 
Back
Top Bottom