Poleni na majukumu wanajamii, mimi ni mtanzania ninaishi Marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa!
Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,
Ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)