Msaada: Kuhama Marekani kwenda Australia au Canada

Poleni na majukumu wanajamii, mimi ni mtanzania ninaishi Marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa!

Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,

Ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)
Ukihamia Canada au Australia tupe connection
 
Inawezekana kabisaa Tatizo watu kutoka Africa wanashindwa kutofautisha kati ya Citizenship na Permanent resident kwa kujua Citizenship ni bora zaidi ya PR kwa mgeni wanashindwa kuvumilia miaka 5 -10 kupata Citizenship wanataka kupata Citizenship kwa muda mfupo ndipo wanajikuta wameoa rejected material kama Wazee,mabonge ,wajane na kujikuta wako under pressure kwani kile wanachokipata wanajikuta mke ndio mpanga matumizi na wanajikuta kwenye pingu za child support nusu ya kipato chote kinakwenda kwa mke

Pia ktk ndoa za kuoa haraka haraka unajikuta umeoa mwanamke ambae no low class yani wanafanya kazi daraja la chini

Lakini ukivumilia miaka 5-10 unaweza kupata uraia bila ya shida nchi nying baada ya kumaliza chuo wanakupa miezi 3 ya kutafuta kazi na ukipata kazi kama ni ya muda mrefu inapata PR tofauti ya mwenye PR na Citizens ni ndogo sana hasa hasa kwenye mambo ya siasa tu yani ww uruhusiwi kupiga kura tu lakini huduma zingine kama Afya, Elimu,Kijamii wote mnakuwa Sawa tu

umeeleza mubashara kabisa.
Sasa hapo inapotokea akaoa haijarishi ni rejected materials au la na akajikuta kwenye pingu za child support, je?

1.hiyo nusu ya kipato chake kwenda kwa mwanamke ni sheria?
2. Je kuna haja ya kusema nusu ya kipato cha mwanaume inaenda kwa mwanamke wakati wanaishi wote baba+mama+ mtoto?
3. Kwani baba si niwajibu wake kumtunza mtoto bila kupangia niasi gani kiende kwa mwanamke?
 
Mkuu, hii 5-10 years unayozungumzia ni kwa wapi USA, Ulaya au wapi?

Siku hizi nchi nyingi wanaiga "point based system" ya Australia ambayo kwa ujumla inamkata mtu kama mleta mada.

Yaani katika mfumo huo wanaangalia mambo kama umri, elimu, kipato, akili kama imetulia na mambo kama hayo.

Hata Marekani nao wamesema wanataka kuingia huo mtindo ili kuwapata wengi.

Nchi zingine kama New Zealand na Canada wao bado wanaweza kutoa mwanya kama una vyeti vyako.

Suala la kuoa kwa nchi kama Uingereza wao wameweka kabisa kwamba mmoja wenu awe anapata mshahara wa kuanzia pauni 18,600 kwa mwaka bila ya makato ya kodi.

Ila mleta mada kwa hali yake ya kuwa tayari ni "overstayer" inakuwa ni vigumu kufanya next move labda kama anaamua tu kwamba achukue risk na akae tu huko US jambo ambalo ni hatari kwake.

Hili ndilo tatizo kwa vijana wengi kwamba unapokuwa kwenye nchi kama USA usisahau kulipa kipaumbele suala la makaratasi.

Sasa mtu yupo ndani ya eneo la tukio na anashindwa kufunga goli.

Kuhusu mke wako huwezi kumuoa kama huna karatasi ila utaweza kumuoa kama hujaoza na umerudi Tanzania halafu atakuja kukuchukua, na kwanini mmekaa miaka sita sasa na hujaweza hata kupata angalau katoto kamoja ka kuwafanya jamaa wakuhurumie?

Ungekuwa na mtoto ungeweza kuwa unakwenda kukasalimia na kumuona mama na hapo ungejenga trust kuwa unashiriki kumkuza mtoto.

Narudia tena kama huna karatasi una nafasi ndogo sana ya kuzunguka.
 
luckyline,

Kama kuna makubaliano kati yenu ambayo hayahusishi watu wa Child Support basi mnakuwa sawa mmepanga wenyewe kati yenu muweke vipi suala la matunzo ya watoto.

Tatizo kubwa huja baada ya mama kwenda kulalamika kwamba jamaa amekubali kusaidia kiasi fulani kila mwezi halafu hafanyi hivyo.

Hapo ndipo CS wanapopanga matumizi na huwa ni kiwango cha kutisha sana kiasi cha kuwafanya mazee yakimbie na kurudi bongo.

Kwa sababu huwa wanatumia namba yako ya bima kuangalia unaingiza kipato kiasi gani.
 
Poleni na majukumu wanajamii, mimi ni mtanzania ninaishi Marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa!

Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,

Ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)

Mkuu:
Canada is way nicer to immigrants compared to America. As long as you are educated, and follow their requirements to the T you should be fine. Just be prepare to patient, however long of a process the application may end up being, usife moyo.
Please review this link :Express Entry System
 
Fadhili Muhina Madege popote ulipo toka huko australi umpe jama michongo,,najua toka umekua na huyo demu mwaka 1999 mpka leo una watoto watatu na majumba kadhaa pale moshi,,na unakuja na kurud kama sisi tunavyopiga trip za kkoo,,sasa msaidie jamaa anataka kuja huko,,,uzur yy ana kajielim kake kadogo na ww ulienda ukiwa empty kabsa kichwan,,ulifanyaje?? Usijifiche na najua ukiona ID hii utajua nan anakuchokonoa huko [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] najua umepata kila kitu huko,,ukija huku unakuja kama mtalii tupe siri,,mm naijua lakin mwenzetu huyu hajajua bado, najua unafuatilia huu uzi ila umeuchuna mahali,,,msaidie jamaa km ulivyompigania Kitulinga na Baraka mpka leo hawajurud.....
 
luckyline,

Kama kuna makubaliano kati yenu ambayo hayahusishi watu wa Child Support basi mnakuwa sawa mmepanga wenyewe kati yenu muweke vipi suala la matunzo ya watoto.

Tatizo kubwa huja baada ya mama kwenda kulalamika kwamba jamaa amekubali kusaidia kiasi fulani kila mwezi halafu hafanyi hivyo.

Hapo ndipo CS wanapopanga matumizi na huwa ni kiwango cha kutisha sana kiasi cha kuwafanya mazee yakimbie na kurudi bongo.

Kwa sababu huwa wanatumia namba yako ya bima kuangalia unaingiza kipato kiasi gani.

copied. Thanx.
 
copied. Thanks
 
umeeleza mubashara kabisa.
Sasa hapo inapotokea akaoa haijarishi ni rejected materials au la na akajikuta kwenye pingu za child support, je?

1.hiyo nusu ya kipato chake kwenda kwa mwanamke ni sheria?
2. Je kuna haja ya kusema nusu ya kipato cha mwanaume inaenda kwa mwanamke wakati wanaishi wote baba+mama+ mtoto?
3. Kwani baba si niwajibu wake kumtunza mtoto bila kupangia niasi gani kiende kwa mwanamke?
Kwanza unatakiwa kujua ya kwamba wazungu wanaheshimu vitu vifuatavyo
1 Wanawake
2 Mbwa au wanyama
3 Wanaume

Pia unatakiwa kujua ya kwamba si kuwa unapooa au kuolewa si hapo hapo unapewa uraia inaweza chukua miaka 3-10 kupata Citizenship utakacho pata ni Permanent resident ili uweze kufanya kazi wakati makaratasi yako ya kupata Citizenship yakishugulikiwa

Sasa ktk kipindi chote majaliwa yako ya kupata Citizenship yanakuwa juu ya mwanamke so ukimpiga au kimfanyia jambo lolote ambalo si lakiungwana kama kupiga akienda kusema ujue safari ya kurudi Africa inakuwa tayali kumbuka mwenye PR anaweza kufukuzwa ila mwenye citizenship hawezi kufukuzwa nakumbuka mwaka 2000 mama yangu alimpokea kaka yake kutoka Norway aliyekuwa ameoa kosa alimpiga tu mkewe alifatwa na Police kwenye kibarua chake na hakupata hata nafasi ya kuaga watoto moja kwa moja airport alichokuja nacho kutoka Norway kwa miaka yote 7 aliyekuwa huko alikuja na Rasta na tishet nyeupe pamoja na jinzi la Blue na raba za Nike

Kumbuka sisi wa Africa tuna tamaduni zetu na mila zetu ambazo ni kinyume na mila za wazungu yani ni kama amri kumi za Mungu na amri kumi za shetani yani hii usiue hii kill hii usiibe hii kaibe

Mwafrica wote tunaamini kuwa kichwa cha family ni mwanaume na kwetu hakuna haki Sawa tuna wajibu neno haki limebaki kwenye makaratasi tu

Lakini kwa wenzetu mwanamke ni mfalme wa family na wanaume ni mtafutaji wa family mwanamke ndio muhasibu wa family anataka kujua kila senti inayotoka kwa family inakwenda wapi?

ITAENDELEA............
 
Faida pekee narudia tena faida pekee ambayo inamfanya mtu mweusi kuoa mzungu ni Faida ya kiuchumi tu nayo siku hz si sana katika takwimu zinaonyesha wanawake na wanaume wa kizungu ambao ni middle class waliooa na kuolewa na watu weusi ni 2.6% out of 100% na wale upper class ni 0.01% out of 100%

Watu weusi wengi wamekijuta wameoa na kuolewa na wazungu low class na rejects material kama wazee,wajane,single mothers, strippers, bar tender na zile kazi za daraja la chini ambazo kipato chake ni kuanzia 500-2500 $ sasa inakulazimu ufanye kazi zaidi ya moja

Hasara za kuoa au kuolewa na wazungu ni kubwa sana kwa weusi kuliko faida kuanzia hasara ya kitamaduni, kijamii,kihisia na kimaendeleo yako ww binafsi na ndugu zako

"sasa inakulazimu ufanye kazi zaidi ya moja"??????????
Hayo maneno yako yameniuma

Ina maana hakuna mda wa kutosha kupumzika??

Anyway, i got the point. Thanks.
 
Mkuu, hii 5-10 years unayozungumzia ni kwa wapi USA, Ulaya au wapi?

Siku hizi nchi nyingi wanaiga "point based system" ya Australia ambayo kwa ujumla inamkata mtu kama mleta mada.

Yaani katika mfumo huo wanaangalia mambo kama umri, elimu, kipato, akili kama imetulia na mambo kama hayo.

Hata Marekani nao wamesema wanataka kuingia huo mtindo ili kuwapata wengi.

Nchi zingine kama New Zealand na Canada wao bado wanaweza kutoa mwanya kama una vyeti vyako.

Suala la kuoa kwa nchi kama Uingereza wao wameweka kabisa kwamba mmoja wenu awe anapata mshahara wa kuanzia pauni 18,600 kwa mwaka bila ya makato ya kodi.

Ila mleta mada kwa hali yake ya kuwa tayari ni "overstayer" inakuwa ni vigumu kufanya next move labda kama anaamua tu kwamba achukue risk na akae tu huko US jambo ambalo ni hatari kwake.

Hili ndilo tatizo kwa vijana wengi kwamba unapokuwa kwenye nchi kama USA usisahau kulipa kipaumbele suala la makaratasi.

Sasa mtu yupo ndani ya eneo la tukio na anashindwa kufunga goli.

Kuhusu mke wako huwezi kumuoa kama huna karatasi ila utaweza kumuoa kama hujaoza na umerudi Tanzania halafu atakuja kukuchukua, na kwanini mmekaa miaka sita sasa na hujaweza hata kupata angalau katoto kamoja ka kuwafanya jamaa wakuhurumie?

Ungekuwa na mtoto ungeweza kuwa unakwenda kukasalimia na kumuona mama na hapo ungejenga trust kuwa unashiriki kumkuza mtoto.

Narudia tena kama huna karatasi una nafasi ndogo sana ya kuzunguka.
Mkuu nchi nying sana ukiwa na Permanent resident na umekaa na kufanya kazi ndani ya nchi husika na umelipa kodi na huna Criminal record zozote hasa ukwepaji wa kodi unayohaki ya kuomba uraia ukapata nchi nyingine ni kuanzia miaka 5 - 10 unaweza kupata uraia

Sasa kinachowafanya wengi wenye PR Kuogopa kuomba uraia kuna mtihani unatakiwa kufanya pia kuna nchi nyingine hawaongei kingereza na moja ya kigezo cha kupata Citizenship ni kuwa na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya hyo nchi vizuri

Nchi nying wanatoa Working permit kwa skilled workers na professional na skilled workers na professional ni lazima utakuwa na kipato kizuri
 
Kwanza unatakiwa kujua ya kwamba wazungu wanaheshimu vitu vifuatavyo
1 Wanawake
2 Mbwa au wanyama
3 Wanaume

Pia unatakiwa kujua ya kwamba si kuwa unapooa au kuolewa si hapo hapo unapewa uraia inaweza chukua miaka 3-10 kupata Citizenship utakacho pata ni Permanent resident ili uweze kufanya kazi wakati makaratasi yako ya kupata Citizenship yakishugulikiwa

Sasa ktk kipindi chote majaliwa yako ya kupata Citizenship yanakuwa juu ya mwanamke so ukimpiga au kimfanyia jambo lolote ambalo si lakiungwana kama kupiga akienda kusema ujue safari ya kurudi Africa inakuwa tayali kumbuka mwenye PR anaweza kufukuzwa ila mwenye citizenship hawezi kufukuzwa nakumbuka mwaka 2000 mama yangu alimpokea kaka yake kutoka Norway aliyekuwa ameoa kosa alimpiga tu mkewe alifatwa na Police kwenye kibarua chake na hakupata hata nafasi ya kuaga watoto moja kwa moja airport alichokuja nacho kutoka Norway kwa miaka yote 7 aliyekuwa huko alikuja na Rasta na tishet nyeupe pamoja na jinzi la Blue na raba za Nike

Kumbuka sisi wa Africa tuna tamaduni zetu na mila zetu ambazo ni kinyume na mila za wazungu yani ni kama amri kumi za Mungu na amri kumi za shetani yani hii usiue hii kill hii usiibe hii kaibe

Mwafrica wote tunaamini kuwa kichwa cha family ni mwanaume na kwetu hakuna haki Sawa tuna wajibu neno haki limebaki kwenye makaratasi tu

Lakini kwa wenzetu mwanamke ni mfalme wa family na wanaume ni mtafutaji wa family mwanamke ndio mwasibu wa family anataka kujua kila senti inayotoka kwa family inakwenda wapi?

ITAENDELEA............
mmmmmmmmmmmhhhhh mbona wanateseka sasa!

Swali la mwisho

bila bond yoyote i mean mke, mtoto, mtu anafanya kazi tu na ameishi zaidi ya miaka kumi yuko vizuri kiakili, je citizenship anapata kama wazawa??

Asante.
 
luckyline,

Kama kuna makubaliano kati yenu ambayo hayahusishi watu wa Child Support basi mnakuwa sawa mmepanga wenyewe kati yenu muweke vipi suala la matunzo ya watoto.

Tatizo kubwa huja baada ya mama kwenda kulalamika kwamba jamaa amekubali kusaidia kiasi fulani kila mwezi halafu hafanyi hivyo.

Hapo ndipo CS wanapopanga matumizi na huwa ni kiwango cha kutisha sana kiasi cha kuwafanya mazee yakimbie na kurudi bongo.

Kwa sababu huwa wanatumia namba yako ya bima kuangalia unaingiza kipato kiasi gani.

asante nimeelewa.
 
Mkuu nchi nying sana ukiwa na Permanent resident na umekaa na kufanya kazi ndani ya nchi husika na umelipa kodi na huna Criminal record zozote hasa ukwepaji wa kodi unayohaki ya kuomba uraia ukapata nchi nyingine ni kuanzia miaka 5 - 10 unaweza kupata uraia

Sasa kinachowafanya wengi wenye PR Kuogopa kuomba uraia kuna mtihani unatakiwa kufanya pia kuna nchi nyingine hawaongei kingereza na moja ya kigezo cha kupata Citizenship ni kuwa na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya hyo nchi vizuri

Nchi nying wanatoa Working permit kwa skilled workers na professional na skilled workers na professional ni lazima utakuwa na kipato kizuri

Uko sawa kabisa.

Nchi kama Ujerumani, Sweden, Netherlands lazima uzungumze lugha zao kama masharti.

Hata Uingereza kuna mtihani uitwao "life in UK test" ambao ni tafu sana kama lugha haipandi.

Lakini wengi hupumzika kwenye PR sababu ingine ni kwamba kwa mfano Tanzania hairuhusu uraia pacha, lakini nchi zingine kama Ghana wa wanachukua Uraia wa kigeni na pia wanabakia na kitabu cha nchi yao.
 
mmmmmmmmmmmhhhhh mbona wanateseka sasa!

Swali la mwisho

bila bond yoyote i mean mke, mtoto, mtu anafanya kazi tu na ameishi zaidi ya miaka kumi yuko vizuri kiakili, je citizenship anapata kama wazawa??

Asante.
Kuna vitu viwili ambavyo lazima mgeni yeyote anapitia kuelekea citizenship

1 Working permit(kibali cha kazi) poa kingine ni kibali cha ukimbizi japo ukiwa na status ya ukimbizi kupata uraia ni kazi kweli kweli

2 Permanent resident (kibali cha ukazi ambapo nchi nyingi wanatoa kwa wale wenye permanent Jobs au kwa wale wenye maombi ya kuomba hifadhi aidha ya ukimbizi au kisiasa

Kumbuka PR au WP si uraia ni ukazi tu so Serikali inaweza kuifuta na kufukuzwa nchini muda wowote ni kama vile cheti za kuzaliwa si kithibitisho cha uraia wa mtu ila inaweza kutumika kama kithibitisho cha ukazi tu

Kuna tofauti ya ukazi na uraia

Ukazi ni kibali cha kumfanya mtu ambae si raia kuishi na kufanya kazi ndani ya nchi husika

Uraia ni haki inayompa mtu aliyezaliwa au kuchukua uraia kushiriki na kupata haki zote zinazotolewa na nchi husika kwa wananchi wote ikiwamo haki ya kuchagua na kuchaguliwa

So kama ukifanikiwa kupata Citizenship ya nchi nyingine utakuwa na haki zote nilizozitaja hapo kwenye uraia sema unaweza kukosa haki ya kuchaguliwa kwenye baadhi ya nafasi hasa Kiongozi mkuu wa Serikali kama Rais na Waziri mkuu

Kumbuka wenye citizenship hawezi kufukuzwa nchini ila mwenye PR anaweza kufukuzwa

Nadhani nimekujibu swali lako
 
mubashara kabisa. Asante.
 
asante nimeelewa ila nilitaka uelezee kuhusu kuoa maana wengi waliokwenda wameoa kwa wenda kwa kupenda/bahati mbaya /au kama wengine wanavyoita wameoa "rejected materials"
je kuna pressure behind inayowafanya waoe tofauti na kupenda? Maana mwisho utaona wanalalamika wanataka ushauri humu jf kuhusu ndoa zao as if walilazimishwa.

Waliowengi wakimaliza shule haijarishi yupo nchi gani hawarudi tz kutafuta viza kwa shughuri nyingine je wanatumia kuoa kama kigezo??
Unajua kuna wano oa na kuolewa kwa mahaba yao, na kuna wanaofanya hivyo kwa lengo la kupata vibali vya kuishi, so utakuta wanaingia kwenye ndoa zisizo za maamuzi na mapenzi yao, ndio maana muda si mrefu unaona wanakuja huku kutaka ushauri na msaada wa kujinasua, japo kuna ambao wanakutana na ndoa njema na maisha yanaendelea vizuri tu, Mimi nina mdogo wangu alitumia njia hiyo ya kwenda kama mwanafunzi lakini baada ya kuingia kule hakwenda shule akapata binti wa kimarekani wakaoana wapo na familia ya watoto watatu na maisha yanaendelea hakuana shida, So ukipata bahati maisha yanakua mazuri
 
Poleni na majukumu wanajamii,mimi ni mtanzania ninaishi marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa! Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo Na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,
ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhama kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)

Marekani wamekukatalia makaratasi kwa sababu gani? Utakuwa una criminal record ya felony maana si kawaida kukataliwa makaratasi mara 3 kama una legal marriage certificate. Na kama ni kweli, then my friend you are doomed. Huwezi ku immigrate Canada au Australia.
 
Back
Top Bottom