Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Si tunaongelea 1st world countries mkuu.
Hizo nchi nyingi ukiweza kuingia na kiasi fulani cha pesa au kununua property ya amount fulani unakuwa termed kama investor na unaqualify kupata PR, na ukihold PR kwa miaka kadhaa unaruhusiwa kuapply citizenship.
Na nchi nyingi ukiwa na PR nadhani unakuwa na haki zote kama raia except huwezi kupiga kura na haupewi passport.
Correct me if am wrong.
Mmh mmh sijui uko ulipo mkuu. With ref to Oz ili uwe investor at least uwe na AuD 500,000 ndio unapata visa ya investor. Hiyo ya kununua house ..labda