kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,030
Haziwez...angalia size ya hyo mapMB 450 haziwezi zikamaliza mkuu??
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Haziwez...angalia size ya hyo mapMB 450 haziwezi zikamaliza mkuu??
Nitafanyia kazi bando la usiku mkuu, hatua zake zikoje nikishalidownload mana unaweza usiwe online kwa huo mda.Haziwez...angalia size ya hyo map
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Soma ule uzi nloweka hapa...una hatua zote mkuuNitafanyia kazi bando la usiku mkuu, hatua zake zikoje nikishalidownload mana unaweza usiwe online kwa huo mda.
Sawa kiongozi wangu, asante sana...!!!Soma ule uzi nloweka hapa...una hatua zote mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Soma ule uzi nloweka hapa...una hatua zote mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu naona upo na volvo moja mbaya sana
Sure
Download Euro Truck Simulator 2 (v1.33.2s + 65 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Pc mkuu
daah mkuu nimekukubali ngoja nijichange ninunue pc tenaMkuu naona upo na volvo moja mbaya sana
Mim nipo zangu porini uku
View attachment 986833View attachment 986834View attachment 986835
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Tafuta pc mwanadaah mkuu nimekukubali ngoja nijichange ninunue pc tena
Ahaa sasa mkuu msaada wako kidogo,,nna pc yenye spec 4gb ram na 500 gb,,,je inaweza cheza iyo kitu na mb za kulishusha zikoje?asantePc mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ndio unacheza mkuu..Ahaa sasa mkuu msaada wako kidogo,,nna pc yenye spec 4gb ram na 500 gb,,,je inaweza cheza iyo kitu na mb za kulishusha zikoje?asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hapo mkuu je naweza install kwenye cm then nilihamishie kwenye pc,, maana pc haikai na chaji halafu nilipo netwk ni mzozo,Ndio unacheza mkuu..
Lina gb kama 3 hivi
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Unaweza download kweny sim..uka install kweny computer badaeHapo hapo mkuu je naweza install kwenye cm then nilihamishie kwenye pc,, maana pc haikai na chaji halafu nilipo netwk ni mzozo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu nikikwama nitakuchek kwa msaada ndgUnaweza download kweny sim..uka install kweny computer badae
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu naona upo na volvo moja mbaya sana
Mim nipo zangu porini uku
View attachment 986833View attachment 986834View attachment 986835
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Naona speed 300..unataka kupaaa???View attachment 986993
niko napasha na 'jet' ya ardhini, then napachika mario map tayari kuanza na safari za kule Bogota all the way to Rio
Daaahhh, umeelezea vizuri hadi mood imepanda hapa.Euro truck utakinai kama unatembelea official map zile...
Ukitaka enjoy hii game..weka mods za kila aina
Funga horsepower ya kibabe
Badilisha gearbox ,upate gear had 22 uko
Change sound ile...weka sound ya V8 ,utaskia chuma inavyoitika
Horn unafunga mpya,funga sound ya wheel..yani tair inatembea inaachia sound flan hivi
Fanya paint ya kibabe nje,ndani funga skin za maana...
Cargo sasa,kuna mods za overload cargo zile..au unafunga pullin double trailers
Alaf tafuta map za russia ,brazil,peru
Yani unakutana na roughroad kama zote,milima,mabonde,bumps yani huez choka hii game...
Ila ukitembelea kila kitu official..basi hata level 10 hufik.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Fanya uliweke mkuu..kuna mods za hatarDaaahhh, umeelezea vizuri hadi mood imepanda hapa.
Nimeacha kulicheza siku nyingi sana baada ya PC iliyokuwa na hilo game kupotea.
Kwa sasa bado sijaliweka tena kwenye PC mpya
Ngoja nitalitafuta niliweke niwe napungia upepo baada ya mizunguko ya kutwa nzimaFanya uliweke mkuu..kuna mods za hatar
Sent from my SM-G920P using Tapatalk