dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,597
- 60,826
hii ni noma, nashukuru nilichelewa kuipata, nilikua pro ndio nikakutana na hii kitu, ila kwa beginner haifai aiseeno damage mods
hii ni noma, nashukuru nilichelewa kuipata, nilikua pro ndio nikakutana na hii kitu, ila kwa beginner haifai aiseeno damage mods
Yaaa kwel hii beginer akae mbal nayohii ni noma, nashukuru nilichelewa kuipata, nilikua pro ndio nikakutana na hii kitu, ila kwa beginner haifai aisee



Mkuu ni Euro truck simulatorHilo la playstore sio la SCS
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwenye simu DownloadHabari wakuu,nilikuwa naomba msaada kwa wajuzi wa hili game uwezekano wa kulicheza kwa kutumia simu yangu nmeangalia youtube wakielekeza lakin source zake nikifata zinagoma kudownload msaada kwa mwenye link au namna ya kulipata hili game,natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana nikasema hizo ni truck simulator za playstoreMkuu ni Euro truck simulator
Nimeona kabisa jina na alivokua analicheza ngoja nitamuomba screenshot niiweke hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi ndo nimekwamia hapohapoMi mwenyw Ni muhanga, nishawahi kulipata lakin walitaka kunijaribu Kama sio robot ili kulicheza ilo gem, ndug nilishindwa kufaulu ile test, niliambiwa install app mbil kutok playstore afu uzitumie, nilifanya ivo lakin bado halikuchezeka,, wanalifaidi ulaya huko kwa kutumia desktop ambazo wameunganisha na real steering
Nimecheki youtube nikaona mtu ananelekeza na anacheza nilipo download linaanza kufunguka then linakupa test ya link udownload app mbili then liendeleeHakuna Euro truck simulator 2 kweny simu.
Ila playstore kuna games zingine za truck unaweza kujarbu
Ushauri,kama unataka kuenjoy ETS2 basi tafuta pc kisha weka mod zako..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwenye pc ninalo but kwa sasa nko mbali nayo....ninalielewa sana hili game aisee....hiv mod za rough road ni zipi hizo kwa version ya 32?Euro truck utakinai kama unatembelea official map zile...
Ukitaka enjoy hii game..weka mods za kila aina
Funga horsepower ya kibabe
Badilisha gearbox ,upate gear had 22 uko
Change sound ile...weka sound ya V8 ,utaskia chuma inavyoitika
Horn unafunga mpya,funga sound ya wheel..yani tair inatembea inaachia sound flan hivi
Fanya paint ya kibabe nje,ndani funga skin za maana...
Cargo sasa,kuna mods za overload cargo zile..au unafunga pullin double trailers
Alaf tafuta map za russia ,brazil,peru
Yani unakutana na roughroad kama zote,milima,mabonde,bumps yani huez choka hii game...
Ila ukitembelea kila kitu official..basi hata level 10 hufik.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Na umuulize basi namna ya kulipata ikiwa ni lenyeweMkuu ni Euro truck simulator
Nimeona kabisa jina na alivokua analicheza ngoja nitamuomba screenshot niiweke hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata mod zote mkuu..za kila ainaKwenye pc ninalo but kwa sasa nko mbali nayo....ninalielewa sana hili game aisee....hiv mod za rough road ni zipi hizo kwa version ya 32?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana nikasema euro truck simulator 2 ipo kweny pc tu..hayo mengne ni trucks games tu..za watu wengne..hata playstore yamejaaNimecheki youtube nikaona mtu ananelekeza na anacheza nilipo download linaanza kufunguka then linakupa test ya link udownload app mbili then liendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha soon mkuu utaenjoy
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mmh hiyo sio...unaeza ipiga picha folder la euro truck?
japo picha haionekani vizuri mkuuMmh hiyo sio...unaeza ipiga picha folder la euro truck?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Niandikie hizo namba zinazoonekana mbele ya neno simulator 2 hiyo picha sion freshjapo picha haionekani vizuri mkuu
1_31_2_1Niandikie hizo namba zinazoonekana mbele ya neno simulator 2 hiyo picha sion fresh
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hiyo ni versio ya mda mkuu..saiz tupo 1.331_31_2_1
naweza kupata link ya kuidownload hiyo version mkuu?Hiyo ni versio ya mda mkuu..saiz tupo 1.33
So mawili,either utumie mod za zaman kdgo au uweke new version utumie mods mpya
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Surenaweza kupata link ya kuidownload hiyo version mkuu?