nimesota
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 123
- 53
Habari wakuu,nilikuwa naomba msaada kwa wajuzi wa hili game uwezekano wa kulicheza kwa kutumia simu yangu nmeangalia youtube wakielekeza lakin source zake nikifata zinagoma kudownload msaada kwa mwenye link au namna ya kulipata hili game,natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app