Msaada: Kudownload game la Eurotruck simulator 2 on android

Wapi unakwama boss

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kaka yani nikiinstall napata ujumbe huu
Kuna kibox then kuna maandishi yanasema limit installer to 2 gb of RAM, kuna next.
Nikiclick next inanileta hadi install nikiruhusu inainstall hadi kwenye 42% inasimama hapo hapo haiendelei.
Naomba msaada wako mkuu.
 
Limit installer ulitia tick?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Install kwa kutick pale....

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nilivyoona limit installer to 2 gb nikahisi labda hadi mashine yenyewe 2 gb tu. Haina haja kuwa connected na net wakati wa installation?
 
Mashine yenye ram kuanzia 8 kushuka chni..unatick pale..

Net lazma..kuna direct x itakua downloaded wakt wa installation.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mashine yenye ram kuanzia 8 kushuka chni..unatick pale..

Net lazma..kuna direct x itakua downloaded wakt wa installation.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
mkuu bado inaendelea kuinstall but kwenye desktop zinaonekana mbili
 
Kama windows yako ni 64 bas utarun ets2 ya 64 na kama ni 32 bas utarun setup ya 32 hapo kweny desktop

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kama windows yako ni 64 bas utarun ets2 ya 64 na kama ni 32 bas utarun setup ya 32 hapo kweny desktop

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu limefunguka la bit 64 ila naona wale madereva wangu wa game la kwanza wametokea na wakati niliunstall pia kuna ujumbe una options za DISABLE INVENTORY na CONTINUE
 
Disable tu apo...create new account play

Tayari mkuu, then baada ya hapo zile mods za mabarabara mabovu nayapataje mkuu?
 
Kwa hiyo mkuu bila kupakua hiyo map siwezi kuplay? Mana MB zangu zimekata
Huwez kuplay hizo road..labda uplay barabara za kwaida hzo zilzokuja na game

Bando unga hata la usku lile

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Huwez kuplay hizo road..labda uplay barabara za kwaida hzo zilzokuja na game

Bando unga hata la usku lile

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
MB 450 haziwezi zikamaliza mkuu??
 
Back
Top Bottom