Msaada kuactivate office 2013

Msaada kuactivate office 2013

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Wadau habarini za leo
Naomba msaada wa kuactivate office 2013, nikifungua word 2013 inakuja msg inasema product activation failed, afu inanipa option ya activation wizard
msaada tafadhali
 
wadau hakuna mwnye kunisaidia hapa? pls
 
mheshimiwa jaribu hiyo...
MJN6F-M8XD9-R84JM-P8P8W-J8C9K
kama haifanyi kazi sema!
 
mheshimiwa jaribu hiyo...
MJN6F-M8XD9-R84JM-P8P8W-J8C9K
kama haifanyi kazi sema!

asante mdau, ngoja nijaribu nitaleta feedback
 
mheshimiwa jaribu hiyo...
MJN6F-M8XD9-R84JM-P8P8W-J8C9K
kama haifanyi kazi sema!

mkuu hizo key zinasemaa not valid, msaada wadau
 
hakuna msaa hapo mkuu, nimejaribu kuingia hapo inaonekana link haipo ya kudownload

Link ya kudownload ipo. Ila unatumia torrent mheshimiwa. Hapa lazima uwe na torrent client kwenye computer yako mfano utorrent au bittorrent au vuze au nyingine unayojua ili kudowload torrent. Mbona mie nimeidownload?
Ila mie nina copy ya office 2013 ambayo ni cracked. hivi karibuni imekuwa ikiniletea msg hiyo ninafunga hiyo pop up na kuendelea na kazi zangu kama kawaida.
 
mkuu kaa la moto, na mimi huwa natumia ila tatizo ni kuwa nikifungua tu napata msg ya namna hiyo, nikiifunga naendelea na shughuli zangu kama kawaida, ila inaniboa hiyo msg ndio natafuta namna ya kuitoa kabisa
 
Nimekupikia chakula na unataka pia nikupakulie ule wali mkuu Jeff?

OFFICE 2013 ACTIVATOR PERMENENT (ALL WINDOWS)
Type:Applications> WindowsFiles:118Size:198.03 MiB (207646674 Bytes)Uploaded:24/11/2012 6:40:27 GMTBy:ipsitcSeeders:207Leechers:7Comments26
Info Hash:76D2DAD29F2A3145E01826EE9B78489A34A5AB7E

GET THIS TORRENT
(Problems with magnets links are fixed by upgrading your torrent client !)

Initial installation Office -------------------------- 1. KMSmicro run and make the time synchronization (T) 2. Import the required registry data. Double-click on the file: (which supports your windows) Office2010-Localhost.reg When you install Office 2010; Office2013-Win7-Localhost.reg When you install Office 2013 on Windows 7; Office2013-Win8-Localhost.reg When You install Office 2013 on Windows 8. 3. Install Office | Visio | VL Project. 4. Run the application and check the status of activation. If you suddenly see That require activation, close the application, wait for 1-2 minutes and check the status of the activation again. Rarely, but it happens. Usally the product is activated: immediately after installation 5. Close KMSmicro (S) 6. it will ativate It Permanently. Activating an already installed Office 1. KMSmicro run and make the time synchronization (T) 2. Run one of the following, cmd file on Behalf of the Adminstrator: Activate.bat Office 2010 Office 2010 x32 & x32 Windows or Office 2010 x64 and Windows x64 Office 2010 (w64-O32) activate.bat Office 2010 x32 and Windows x64 Activate.bat Office 2013 Office 2013 x32 & x32 Windows or Office 2013 x64 and Windows x64 Office 2013 (w64-O32) activate.bat Office 2013 x32 and Windows x64. 3. If the end of a SAW ┬ ½ ┬ ╗, the product is activated / activating extended. 4. Close KMSmicro (S) 5. it activates it permenently.

GET THIS TORRENT

OFFICE 2013 ACTIVATOR PERMENENT (ALL WINDOWS) (download torrent) - TPB

Bonyeza hapo palipo andikwa GET THIS TORRENT

Kama huna Bit Torrent Bonyeza hapa BitTorrent - Delivering the World's Content

Basi mkuu Jeff hata neno (like) kwako kuweka ni big Deal?
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni kuwa nikifungua tu napata msg ya namna hiyo, nikiifunga naendelea na shughuli zangu kama kawaida, ila inaniboa hiyo msg ndio natafuta namna
Hilo pop up halitoki. Cha kufanya ni kulizima tu. Ukipewa shubiri usiulize pima.
 
Sijui upo wapi na sielewi hii activator ina ukubwa gani natumia simu saa hii natamani kukusaidia works like a charm
 
Nimekupikia chakula na unataka pia nikupakulie ule wali mkuu Jeff?

OFFICE 2013 ACTIVATOR PERMENENT (ALL WINDOWS)
Type:Applications> WindowsFiles:118Size:198.03 MiB (207646674 Bytes)Uploaded:24/11/2012 6:40:27 GMTBy:ipsitcSeeders:207Leechers:7Comments26
Info Hash:76D2DAD29F2A3145E01826EE9B78489A34A5AB7E

GET THIS TORRENT
(Problems with magnets links are fixed by upgrading your torrent client !)

Initial installation Office -------------------------- 1. KMSmicro run and make the time synchronization (T) 2. Import the required registry data. Double-click on the file: (which supports your windows) Office2010-Localhost.reg When you install Office 2010; Office2013-Win7-Localhost.reg When you install Office 2013 on Windows 7; Office2013-Win8-Localhost.reg When You install Office 2013 on Windows 8. 3. Install Office | Visio | VL Project. 4. Run the application and check the status of activation. If you suddenly see That require activation, close the application, wait for 1-2 minutes and check the status of the activation again. Rarely, but it happens. Usally the product is activated: immediately after installation 5. Close KMSmicro (S) 6. it will ativate It Permanently. Activating an already installed Office 1. KMSmicro run and make the time synchronization (T) 2. Run one of the following, cmd file on Behalf of the Adminstrator: Activate.bat Office 2010 Office 2010 x32 & x32 Windows or Office 2010 x64 and Windows x64 Office 2010 (w64-O32) activate.bat Office 2010 x32 and Windows x64 Activate.bat Office 2013 Office 2013 x32 & x32 Windows or Office 2013 x64 and Windows x64 Office 2013 (w64-O32) activate.bat Office 2013 x32 and Windows x64. 3. If the end of a SAW ┬ ½ ┬ ╗, the product is activated / activating extended. 4. Close KMSmicro (S) 5. it activates it permenently.

GET THIS TORRENT

OFFICE 2013 ACTIVATOR PERMENENT (ALL WINDOWS) (download torrent) - TPB

Bonyeza hapo palipo andikwa GET THIS TORRENT

Kama huna Bit Torrent Bonyeza hapa BitTorrent - Delivering the World's Content

Basi mkuu Jeff hata neno (like) kwako kuweka ni big Deal?

sawa mkuu mzizimkavu, ngoja nikakugongee kule, teh teh teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom