Loan Officer jaman hasikilizi wanafunzi wenye changamoto za mikopo anamajibu yasio sawa kabisa, mara aseme muda wa kusikiliza wanafunzi umeisha, mara aseme hana utatuzi.
Siku nyingine tunaondoka tumechoka, naomba mfanye uchunguzi kwa kuwauliza wanafunzi au hata kujiunga na magroup ya mikopo mjionee hali ilivyo, pia Mawaziri wanamajibu mabaya sana.
Loan Officer Mkuu ndiyo tabia yake hiyo anafunga ofisi muda wa kuhudumia watu akija anafika anawaambia muda wa kuonana na wanafunzi umeisha mtakuja kesho afu anayehusika na mikopo ya wanafunzi yuko humu anachamba umbea tu😂