Msaada: Kozi nzuri ya masters kwa aliyesoma BSc Ed (Mathematics&Geog)

I think this course needs engineering background.How do you manage engineers with no experience?
Kinachomuwezesha mtu kwa-manage ma-engineer, au watu wengine wa aina yeyote ile wasiokuwa ma-engineer ni management skills (na si engineering per se as such) ambazo huwa zinafundishwa intensively and extensively, kwenye masomo ya management. Kwa hiyo ukiwa umesoma ki-uhasibu kidogo halafu na Sayansi nayo pia ukawa uko nayo, unapata advantage zaidi kusoma kozi hii na almost kila lecturer lazima atakuwa rafiki yako, namna utakavyokuwa unawafurahisha.

Kwa hiyo si lazima mtu awe engineer kusoma course hii. In a wider sense, engineering management inamaanisha application of management skills in the engineering profession.

I did this coarse myself and I like it. Mimi nilichukua IT na nilibahatika kusoma Marketing Management pia kama core course! One of the best PG courses at the UDSM, I can say
 
Kinachomuwezesha mtu kwa-manage ma-engineer, au watu wengine wa aina yeyote ile wasiokuwa ma-engineer ni management skills (na si engineering perce as such) ambazo huwa zinafundishwa intensively and extensively, kwenye masomo ya management. Kwa hiyo ukiwa umesoma ki-uhasibu kidogo halafu na Sayansi nayo pia ukawa uko nayo, unapata advantage zaidi kusoma kozi hii na almost kila lecturer lazima atakuwa rafiki yako, namna utakavyokuwa unawafurahisha.
Kwa hiyo si lazima mtu awe engineer kusoma course hii. In a wider sense, engineering management inamaanisha application of management skills in the engineering profession.
I didi this corse mydself and I like it. Mimi nlichukua IT na nilibahatika kusoma Marketing Management pia kama core course! One of the best PG courses at the UDSM, I can say
Mzee una jiwe tatu tayari? .Vipi ile pg ya cs ina mashiko, je naweza kuwa vizuri hasa kuweza kuanzisha kakampuni kakizushi ka IT. Mimi ni Bsc physics.
 
nimekuelewa mkuu
Kinachomuwezesha mtu kwa-manage ma-engineer, au watu wengine wa aina yeyote ile wasiokuwa ma-engineer ni management skills (na si engineering perce as such) ambazo huwa zinafundishwa intensively and extensively, kwenye masomo ya management. Kwa hiyo ukiwa umesoma ki-uhasibu kidogo halafu na Sayansi nayo pia ukawa uko nayo, unapata advantage zaidi kusoma kozi hii na almost kila lecturer lazima atakuwa rafiki yako, namna utakavyokuwa unawafurahisha.
Kwa hiyo si lazima mtu awe engineer kusoma course hii. In a wider sense, engineering management inamaanisha application of management skills in the engineering profession.
I didi this corse mydself and I like it. Mimi nlichukua IT na nilibahatika kusoma Marketing Management pia kama core course! One of the best PG courses at the UDSM, I can say
 
Mimi ni mtu mzima, ongea lugha inayoeleweka nitakuelewa. Jiwe tatu maana yake nini? cs?
Watoto wa mjini jiwe wanamaanisha digrii.Swali la msingi hujanijibu bado,Post graduate ya CS ina mashiko ? Kwa lengo LA juanzisha kampuni ndogo tu ya IT solutions.
 
Kwa mtizamo wangu:
Bright future haiwezi kuletwa na wewe KUSOMA mpaka masters.
Huo ndio ukweli kamili.
Kwa soko la ajira lilivyo sasa kukimbilia kusoma Masters hakuwezi kukuongezea sifa za msingi za kuweza kuajiriwa au kulipwa zaidi. Mara nyingi ni kupoteza muda na pesa.
 
Poleni na majukumu ya kujenga nchi wadau,

Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kozi tajwa hapo juu nikiwa na GPA ya 3.8. Nimefikiria kwenda masomoni kujiendeleza katika moja ya kozi zifuatazo :

1. MSc Mathematical modelling
2. MSc Mathematics
3. MSc Official Statistics
4. MSc Agricultural Statistics

Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma katika level ya masters kulingana na masomo yangu. Au hata kama kuna kozi nje ya hizo nilizotaja yenye bright future waweza kunishauri.

Ahsanteni
Unataka kusoma Masters ili ukafanye nini?
Bright future kwako inamaanisha nini? (kulipwa mshahara mkubwa? Kuajiriwa katika taasisi kubwa? Kufurahia aina ya kazi utakayoifanya? Kusifika kijamii? Kuilinda ajira yako?)

Kama unataka kufanikiwa kipesa, basi acha kuwaza kwenda kusoma. Utapoteza muda wako.
 
Watoto wa mjini jiwe wanamaanisha digrii.Swali la msingi hujanijibu bado,Post graduate ya CS ina mashiko ? Kwa lengo LA juanzisha kampuni ndogo tu ya IT solutions.
Nakushauri uwasiliane na watu walioko kwenye IT industry. Mimi niko kwenye institution ambayo ni teaching, sina upeo na soko la IT lilivyo huko mtaani
 
Tatizo la sisi waafrica tunajaza mzigo kichwan na vyeti kwenye mafail bila kutumia tulicho nacho akilin kwa kujiendelezea fikiria ulicho nacho badala ufikirie ugundue Nini kupitia Elimu iyo tofauti n mwingine tunangangana ushindani wa kuongeza vyeti life is co short ishi kwa gepu nakushauri tu tumia hiyo Ada unapenda kutumia kuqndikia kitabu chako uingize sokon ama anzishia darasa la tuition binafsi Africa ifike wakati tutumie sasa elimu yetu tusikariri kuajiriwa saana Kama vip omba cheo nyingine kwenye siasa ama uongozi mbalimbali Kama Selita za TAMISEM ama kiwilaya ama kwenye siasa ama wizara mbalimbali tujiongezeni jamani hii Jambo sintasahau
Elimu ni kile ukichobakiwa akilini baada ya kusahau kile ulichofundishwa darasani uyo Ni ujumbe wa botswana nliodumu two yeray
 
Mkuu toa ushauri ukilenga hitaji la mtoa mada, ushauri uliotoa ni mzuri lakini hauzingatii muhtadha, ushauri wako sio mahala pake.
 
Umeona eeh nashukuru.Lakini hii ndo dunia kuna watakao support ideas zako na wataovunja moyo.Mungu aongoze tuyafanye yaliyo sahihi
 
Tatizo la sisi waafrica tunajaza mzigo kichwan na vyeti kwenye mafail bila kutumia tulicho nacho akilin kwa kujiendelezea fikiria ulicho nacho badala ufikirie ugundue Nini kupitia Elimu iyo tofauti n mwingine tunangangana ushindani wa kuongeza vyeti life is co short ishi kwa gepu nakushauri tu tumia hiyo Ada unapenda kutumia kuqndikia kitabu chako uingize sokon ama anzishia darasa la tuition binafsi Africa ifike wakati tutumie sasa elimu yetu tusikariri kuajiriwa saana Kama vip omba cheo nyingine kwenye siasa ama uongozi mbalimbali Kama Selita za TAMISEM ama kiwilaya ama kwenye siasa ama wizara mbalimbali tujiongezeni jamani hii Jambo sintasahau
Elimu ni kile ukichobakiwa akilini baada ya kusahau kile ulichofundishwa darasani uyo Ni ujumbe wa botswana nliodumu two yeray
Kila mtu ana malengo yake.Nakushukuru kwa ushauri wako pia
 
Poleni na majukumu ya kujenga nchi wadau,

Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kozi tajwa hapo juu nikiwa na GPA ya 3.8. Nimefikiria kwenda masomoni kujiendeleza katika moja ya kozi zifuatazo :

1. MSc Mathematical modelling
2. MSc Mathematics
3. MSc Official Statistics
4. MSc Agricultural Statistics

Naombeni ushauri wa kozi nzuri ya kusoma katika level ya masters kulingana na masomo yangu. Au hata kama kuna kozi nje ya hizo nilizotaja yenye bright future waweza kunishauri.

Ahsanteni
Habar, mm pia ni muhtimu wa chuokikuu, nataman sana kusoma masters japo sijui nianzie wapi. Nimemaliza chuo mwaka huu (2020). Ni mwalimu wa mahitaji maalumu (BED SPED). Naomba mwenye kunipa muongozo ni vyuo gan vyenye kutoa masters hapa nchini na hata ughaibuni kwa huo mchepuo. Na mchakatomzima wa kuomba kusoma hiyo masters ukoje.

Wasalaam,
 
Karibu kuingia Google utafute. Nadhan ni vyuo vya nje ndo vinatoa masters na ni kozi nzuri hii
 
OK, na utaratibu was kuomba udhan was kusoma nje ukoje??
 
Special Ed ni kozi nzuri Google "Master Scholarship in Special Education " utazikuta ,na huwa wanaeleza taratibu za kuapply kwa kila moja.Ila la msingi unatakiwa uandae nternational passport ....itakusaidia
 
Back
Top Bottom