Mkuu mtoto hadi siku ya kukata ndege kuondoka nilijua na siti aliyokuwa amekaa naijua. Kiufupi amekaa mamtoni miaka minne sasa.
Hata kama alimla miaka minne sio issue ashapona kilo kovu.Kwenye hiyo siti alikweleza jirani yake nani.......?.....sasa kukutaarifu tu.....huyo jamaa walivyofika 'alimla'....bilivu mi......
ata kua wa dar tu huyuWe uko mkoa gani ili uelekezwe sehemu itakayo kufaa.
Pathetic! Umekosea hapo!Mtoto natokea majuu, na ni wakishua balaa, Afu natamani maisha anayo ishi ila mi sina uwezo huo. Ila nikimpata nita enjoy sana hela zake na tutashirikiana kimaisha .
Kwao ni hapahapa bongo na nimeshakutana nae mara mbili uso kwa uso ndo nikamuomba contact.
Future ipo mtoto nimedate nae miaka mnne na nusu, naamini kwa vile amerudi bongo mambo yatakuwa mwake hata mwaka huu tu. WWe nipe anuani yako ntakualika kwenye vikao na harusiHauna mshikaji akuachie geto lake ufanyie mauzo????? Maana sioni future hapo
Wakuu hakuna anaejua kiwanja standard? Ama ninyi ni kwenye magheto tu, Loh, ngoja nijaribu kutafuta kwa njia nyingine
Mpeleke beach,hasa za maeneo ya mbezi kwa budget ya 40-50k unaweza fanikiwa kumridhsha pakubwa tuH
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Thanks mkuu. iko mitaa ipi hii? afu mtoto wa kishua nazani atapendelea zaidi burger
Mkuu ulikua dar mara ya mwisho mwaka gani?Hivi cape town fish market bado ipo? au wamefunga kwa kodi?
mpeleke ciello
au pale rio gym juu pale golden jubilee plaza ghorofa ya tano wana kiji restaurant cha kishkaji na swimingpool kiaina halafu ukimaliza mnaingia JB bellmonte pale kula mzigo
Ukishndwa kbs mpeleke blue pearl ubungo plaza,pako vizuri mno kwa chini pale kuna kabustan cha ukweli na ni patulivu,mkimaliza mnaenda swiming juu kabisa ghorofani kupata view ya ukweliThanks mkuu. iko mitaa ipi hii? afu mtoto wa kishua nazani atapendelea zaidi burger
Haya buana. mi nikala huku kimara bonyokwa
TombokaaaNayebi te......
Na mwasi kitoko anaikala wapi......?...
tokea 2015 mwanzoni kwani vp?Mkuu ulikua dar mara ya mwisho mwaka gani?
Tombokaaa
JB ilishafungwatokea 2015 mwanzoni kwani vp?