Msaada kiwanja Ku-Date

H
Unagusa level siyo zako... kama unaanza kusema huna mkwanja basi unakanyaga moto...
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
 

Huu ndo utoto sasa. Kumbe uko after pesa? Hujielewi
 
Hahaha! Sijapata kuona mtu chizi kama wewe.

Usikute walikuwa wanafahamiana kitambo na huyo msichana anarudi zake toka huko India kwa likizo
Kumbe mtoto anatokea India alikua kwenye matibabu Apollo nini?
Itabidi atafute kiwanja chenye kachori, basi aende twoo cc Preta
 
Wanawake hasa wenye malengo ya kimaisha wanataka mtu awe real sio unamletea maigizo maana maigizo huwa yana mwisho
 
H
Mkuu mtoto wa kiume hatakiwi kukata tamaa, huyu mtoto anaweza kutnitoa kimaisha hapo badae. Mi namjua ila ndo najaribu kuendana na life style lake kwanza.
Nakuelewa...lakini usisahau ndege wafananao ndiyo huruka pamoja... usije ukaumizwa tu mbele ya safari...
 

Ohooooo.......sasa wewe unatafuta shida.........tena sio ndogo......
 
Alikua mamtoni nchi gan na mji gan ?? Alikua akifanya shughuli gan huko ?? Ameishi kule mda gan ??

Na maana yangu kuku uliza hvyo. Tehe
 
Alikua mamtoni nchi gan na mji gan ?? Alikua akifanya shughuli gan huko ?? Ameishi kule mda gan ??

Na maana yangu kuku uliza hvyo. Tehe
Hee we usije ukawa kaka mtu, we sema tu kiwanja, nishachanganyikiwa hapa. maana anasubiri jibu
 
Hivi cape town fish market bado ipo? au wamefunga kwa kodi?

mpeleke ciello

au pale rio gym juu pale golden jubilee plaza ghorofa ya tano wana kiji restaurant cha kishkaji na swimingpool kiaina halafu ukimaliza mnaingia JB bellmonte pale kula mzigo
 
atakua kamtoa badoo af mchumba kamwambia yuko mamtoni kumbe yuko mtoni kwa azizi aly
Mkuu mtoto hadi siku ya kukata ndege kuondoka nilijua na siti aliyokuwa amekaa naijua. Kiufupi amekaa mamtoni miaka minne sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…