Msaada kisheria kero ya mkopo

Msaada kisheria kero ya mkopo

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
639
Reaction score
611
Salaam!

Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana.

Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya muda wa rejesho, je kwa kuchelewa huko na kiwango kilichobaki nyumba inaweza kuuzwa yaani kupigwa mnada?
 
Hawana jeuri hiyo ya kuuza nyumba kwa kwa mkoo wa m5 wenye deni la laki7 hata ingekua milioni mkuu.
Kaa nao mezani pangeni jinsi ya kulipana vizuri tu mikopo sio vita
 
Back
Top Bottom