Ayub Rioba kaingizwa "king" kizembe kuitoa TBC kwenye Free to air katika King'amuzi cha Azam, akipona hili akatambike

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,804
8,797
Waziri Nape kashatoa maelekezo TCRA waingilie kati na kutoa ufafanuzi wa kina kwanini kituo cha kurusha matangazo cha Umma TBC, kimetolewa kwenye king'amuzi cha Azam.

Dkt. Ayoub Chacha Rioba, huyu alikuwa akilia sana kwenye ukurasa wake wa FB kuwa anahujumiwa. Sasa naona kawapa fursa watesi wake kumtosa baharini.

TBC ni chombo cha umma na kinapata hela kutokana na kodi na mitozo tunayolipa, inakuwaje wanakitoa katika sheria ya free to Air?

Hili Ayoub akipona aende akatambike lazima wameshamnasa. Kelele na tambo zake ndio zinaenda ukingoni.

TBC wanatumia ulaghai kuonyesha wananchi kuwa wameshinda tenda ya kurusha mechi za kombe la Dunia, kitu ambacho hakina ukweli State Tv zote zimepewa ruhusa ya kurusha hii michuano bure.

Rudisheni TBC yetu tumuone mama akijenga nchi.
 
Wazir Nape kashatoa maelekezo TCRA waingilie kati na kutoa ufafanuzi wa kina kwanini kituo cha kurusha matangazo cha Umma TBC, kimetolewa kwenye king'amuzi cha Azam.
Dkt. Ayoub Chacha Rioba, huyu alikuwa akilia sana kwenye ukurasa wake wa FB kuwa anahujumiwa. Sasa naona kawapa fursa watesi wake kumtosa baharini. TBC ni chombo cha umma na kinapata hela kutokana na kodi na mitozo tunayolipa, inakuwaje wanakitoa katika sheria ya free to Air? Hili Ayoub akipona aende akatambike lazima wameshamnasa. Kelele na tambo zake ndio zinaenda ukingoni. TBC wanatumia ulaghai kuonyesha wananchi kuwa wameshinda tenda ya kurusha mechi za kombe la Dunia, kitu ambacho hakina ukweli State Tv zote zimepewa ruhusa ya kurusha hii michuano bure. Rudisheni TBC yetu tumuone mama akijenga nchi.
Fanya tafiti kabla ya kutoa post. Mimi nimeangalia mwanzo mwisho Tbc kupitia kingamuzi Cha Azam. KBC ,Rwanda Tv, Malawi tv na Ntv Uganda ambazo nazo zilikuwa zinaonyesha ndio wamezifunga
 
Waziri Nape kashatoa maelekezo TCRA waingilie kati na kutoa ufafanuzi wa kina kwanini kituo cha kurusha matangazo cha Umma TBC, kimetolewa kwenye king'amuzi cha Azam.

Dkt. Ayoub Chacha Rioba, huyu alikuwa akilia sana kwenye ukurasa wake wa FB kuwa anahujumiwa. Sasa naona kawapa fursa watesi wake kumtosa baharini.

TBC ni chombo cha umma na kinapata hela kutokana na kodi na mitozo tunayolipa, inakuwaje wanakitoa katika sheria ya free to Air?

Hili Ayoub akipona aende akatambike lazima wameshamnasa. Kelele na tambo zake ndio zinaenda ukingoni.

TBC wanatumia ulaghai kuonyesha wananchi kuwa wameshinda tenda ya kurusha mechi za kombe la Dunia, kitu ambacho hakina ukweli State Tv zote zimepewa ruhusa ya kurusha hii michuano bure.

Rudisheni TBC yetu tumuone mama akijenga nchi.
Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Media Ethics 'Kategwa' patamu mno na 'keshategeka' hivyo nakubaliana nawe Safari yake hapo TBC inaelekea Ukingoni kwani Awmu hii kama unajulikana ulikuwa ni Team Hayati 17 Machi, 2021 huwezi Kutoboa ( Kudumu ) katika Wadhifa uliopo tena kama ukiwa una Maslahi ya Umma ( Watanzania ) wengi.
 
Huyu jamaa Rioba yupo smart sana sasa sijui ni kunguni gani kala akili yale? Namsikitia sana. Hongera na pongezi kwa ushindi wetu wa jana nilikuwa porini huko.
 
Mwalimu ( Mhadhiri ) wangu wa Media Ethics 'Kategwa' patamu mno na 'keshategeka' hivyo nakubaliana nawe Safari yake hapo TBC inaelekea Ukingoni kwani Awmu hii kama unajulikana ulikuwa ni Team Hayati 17 Machi, 2021 huwezi Kutoboa ( Kudumu ) katika Wadhifa uliopo tena kama ukiwa una Maslahi ya Umma ( Watanzania ) wengi.
Umenikumbusha alikuwa mwalimu wangu pia, kipindi chote darasani atajisifia, kutupa stories za nje na akiuliza swali atakaepatia anampromise kumgawia mshahara wake....alikuwa na mbwembwe sana enzi zile yupo SJMC pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwembwe sana darasani anakuja na sprite. Ama kule canteen anawatolea mbovu wenzake. SJMC oyeee
 
Back
Top Bottom