Hiyo ni inshu ndogo inawezekana kuna roho ya kifungo inakufatilia pia roho ya kutokustawi,ushauri wangu ni kwmba kama hujaokoka tafuta kanisa la kiroho lililokaribu ukaongozwe sala ya toba uokoke na baada ya hapo ukishafunguliwa kila ukipata hela kwnye mapato yako katoe fungu la kumi (10%) ya mapato yako yote unayopataga,hiyo itasaidia pia kufungua baraka zako nyingi na pia kuiwekea ulinzi fedha yako iliyobakia na matatizo hayatakupata mara kwa mara
N.B usipookoka hata uwe unalala kanisani au unaombewa kila siku kamwe matatzo hayataisha kukuandama.
nenda kwa walokole ukaombewe tatizo litaisha, hiyo ni roho ya ufukara inakufuatilia.
Hiyo ni inshu ndogo inawezekana kuna roho ya kifungo inakufatilia pia roho ya kutokustawi,ushauri wangu ni kwmba kama hujaokoka tafuta kanisa la kiroho lililokaribu ukaongozwe sala ya toba uokoke na baada ya hapo ukishafunguliwa kila ukipata hela kwnye mapato yako katoe fungu la kumi (10%) ya mapato yako yote unayopataga,hiyo itasaidia pia kufungua baraka zako nyingi na pia kuiwekea ulinzi fedha yako iliyobakia na matatizo hayatakupata mara kwa mara
N.B usipookoka hata uwe unalala kanisani au unaombewa kila siku kamwe matatzo hayataisha kukuandama.
Pole nkuu! nenda kwenye makanisa ya kilokole ukaombewe roho ya ufukara inakunyemelea!
Stunna acha kudanganya watu!,hivi unataka kuniambia Majaribu km haya huwakuta wasiookoka tu??,Kumbuka kuwa Mkristu aliyekamilika ni lazima ajaribiwe ili aweze kuthibitisha Imani yake,Na unaposema kuwa kuna Makanisa ya Kiroho,Je ni yepi hayo??,na je Makanisa ya Kimwili ni yepi??.Makanisa ya Kiroho maana yake ni nini???.
Siyo lazima Kwa Walokole hata yeye mwenyewe anaweza akafunga na kuomba kwa kipindi fulani,na Mungu atamjibu tu!.