Wana JF naombeni Msaada wenu VPN kwenye maswala ya internet ina kazi gani?
Kwa upande Wangu nilikuwa nataka kujisecurity yani napokuwa nafungua website yeyote kwa kutumia smart phone Yangu wasiweze kunitrack nakujua IP Yangu na Mac address ya Simu Yangu nawaombeni wenye uwelewa mkubwa zaidi Yangu mnisaidie tafadhali.